Je, mipango ya kuiangusha CCM itafanikiwa?

Je, mipango ya kuiangusha CCM itafanikiwa?

CcM out na Slaa atakaepata aibu ya mwaka.

Watanzania Mbumbumbu kama wewe hawazidi hata asilimia moja ya wapiga kura kwa hiyo sahau hizo ndoto za huyo --------- wenu ikulu. Anapanga kuiba kura na tutamdhibiti sawa sawa.
 
Watanzania Mbumbumbu kama wewe hawazidi hata asilimia moja ya wapiga kura kwa hiyo sahau hizo ndoto za huyo --------- wenu ikulu. Anapanga kuiba kura na tutamdhibiti sawa sawa.
Asante mkuu, ila pole mkuu wewe jiandae tu kisaikolojia huu mwaka ni wetu sisi malofa na wapumbavu CCM must go out, We are totally tired with her.
 
Ni kwa sbbu ya influence ya Kingunge,yule babu aliyetaka Lowasa awe rais ili waendeleze kupga dili huku taifa likiangamia.
Jitoe akili, kisa njaa, hata watoto wako watakuwa hivo hivo; kujipendekeza ili wapate kitu. Stand for the truth even if harts.
 
Back
Top Bottom