Je, mimi nina tatizo gani, au figo zishakufa?

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
814
1,057
  • Nina maumivu makali ya nyonga
  • Maumivu makali chini ya kitovu (kwa pembeni)
  • Mkojo ni wenye harufu mbaya kupita kiasi
  • Nilishaweka mkojo kwenye container, kesho yake nikakuta unatoa wadudu (Funza)
  • Nilishawahi kua na maambukizi ya njia ua mkojo (UTI) kwa muda mrefu (for almost 7 years ago na imekua ikijirudia) lakini kwa sasa kila nikenda hospital kufanya check up naambiwa sina UTI
  • Nikiwa nafua kuinama na kuinuka kunanipa maumivu makali mno ya kiuno yanayopanda mpaka kwenye mgongo..
  • Mkojo Unatoka na rangi za ajabu mixer kamba kamba mle ndani

Wakuu , mimi nina tatizo gani? au ndo organ hazifunction, au ndo nishaua figo
 
Duhhh....🤔
Ngoja wanao faham hizi mambo wakuje, pole na ugua pole sana mkuu..😥
 
Pole sana tafadhari usitengeneze madhania kwenye suala la ugonjwa unaweza kunywa dawa zikakuathiri
Kumbuka Kila mwaka watu 7000 hufariki kwa kutosoma vizuri maelekezo ya dawa na matumizi yasiyo sahihi.
Ushauri.
Nenda hospital kubwa Kisha omba kuonana na daktari bingwa wa magonjwa ya wanaume Kisha mueleze changamoto zako
Fanya vipimo vya magonjwa husika uone shida iko wapi.
 
*Nina maumivu makali ya nyonga
*Maumivu makali chini ya kitovu (kwa pembeni)
*Mkojo ni wenye harufu mbaya kupita kiasi
*Nilishaweka mkojo kwenye container, kesho yake nikakuta unatoa wadudu (Funza)
*Nilishawahi kua na maambukizi ya njia ua mkojo (UTI) kwa muda mrefu (for almost 7 years ago na imekua ikijirudia) lakini kwa sasa kila nikenda hospital kufanya check up naambiwa sina UTI
*Nikiwa nafua kuinama na kuinuka kunanipa maumivu makali mno ya kiuno yanayopanda mpaka kwenye mgongo..
*Mkojo Unatoka na rangi za ajabu mixer kamba kamba mle ndani

Wakuu , mimi nina tatizo gani? au ndo organ hazifunction, au ndo nishaua figo
Mkuu nenda hospital ukacheck
 
Nenda hospital kubwa mkuu...

Pole sana ila usijipe mawazo kwa ugonjwa ambao haujathibitisha kama unao...
 
😟😟😟😟
Daah pole sana mkuu nimekuonea huruma sana nime ya hisi maumivu na mateso unayo pitia ukweli nimeskitika sana.kawaone wataalamu wa Afya na vipimo hali ikizidi zaidi naomba ujitahidi kunitafuta tupambane juu yahilo.
Asili iwe nawe🙏🙏
 
*Nina maumivu makali ya nyonga
*Maumivu makali chini ya kitovu (kwa pembeni)
*Mkojo ni wenye harufu mbaya kupita kiasi
*Nilishaweka mkojo kwenye container, kesho yake nikakuta unatoa wadudu (Funza)
*Nilishawahi kua na maambukizi ya njia ua mkojo (UTI) kwa muda mrefu (for almost 7 years ago na imekua ikijirudia) lakini kwa sasa kila nikenda hospital kufanya check up naambiwa sina UTI
*Nikiwa nafua kuinama na kuinuka kunanipa maumivu makali mno ya kiuno yanayopanda mpaka kwenye mgongo..
*Mkojo Unatoka na rangi za ajabu mixer kamba kamba mle ndani

Wakuu , mimi nina tatizo gani? au ndo organ hazifunction, au ndo nishaua figo
Wewe ni mwanaume au mwanamke?

Maana jinsia siku hizi ina play part kubwa sana kujua mtu anaumwa nini.
 
Visit a nearby medical practitioner from formal healthcare providers
 
Yaani kwa hayo maumivu na hizo dalili bado hujakwenda hospitali?

Wacha wanawake tuambiwe ni waoga ila kuvumilia maumivu aisee hapana.

NENDA HOSPITALI TENA KUBWA, YA RUFAA AU MKOA.
 
Mkuu kwanza kabisa usigoogle utazidi pata presha,nishawahi kuwa na shida kama yako nilienda hospital ya BMH(Benjamin Mkapa hospital) Dodoma nikafanya vipimo vya Figo inaitwa BUN ni chap tu wanapima mkojo nashukuru nilikuwa fresh.

Pia kumbe nilikuwa na shida ya typhoid ya muda mrefu sana.
Hivyo nakushauri uende physical hospital kubwa maana ndio suluhu hapa jf wapo wataalamu ila 200% watashauri uende hospital.

NB:"99% of things we worry never happen "
 
*Nina maumivu makali ya nyonga
*Maumivu makali chini ya kitovu (kwa pembeni)
*Mkojo ni wenye harufu mbaya kupita kiasi
*Nilishaweka mkojo kwenye container, kesho yake nikakuta unatoa wadudu (Funza)
*Nilishawahi kua na maambukizi ya njia ua mkojo (UTI) kwa muda mrefu (for almost 7 years ago na imekua ikijirudia) lakini kwa sasa kila nikenda hospital kufanya check up naambiwa sina UTI
*Nikiwa nafua kuinama na kuinuka kunanipa maumivu makali mno ya kiuno yanayopanda mpaka kwenye mgongo..
*Mkojo Unatoka na rangi za ajabu mixer kamba kamba mle ndani

Wakuu , mimi nina tatizo gani? au ndo organ hazifunction, au ndo nishaua figo
Kwa maelezo yote hayo ungekuwa hospital umelazwa, sijui uko humu jf unafanya nini
 
In short unahisi dalili za kufa. Umenikumbusha mbali sana enzi hizo kwenye mtihani wanauliza

je kusikia kizunguzungu ni dalili ya kufa? (kweli/si kweli)

Mitihani ya Bongo bhn
 
Aende Hospitali akafanye KUB Ultrsound na Magonjwa Mengine Pia..
Ni muhimu Aende hospitali ili wafanye Vipimo..

Hii ni Post yake ya 4 kama Sikosei akijihisi Ana tatizo La Figo Kipenseli aliwahi kupost mwaka 2020 tena Akidai ana tatizo la Figo..

Swali ni kwamba Kwanini Haendi Hospitali kufanya Vipimo?

Tangu mwaka 2020 mpaka Leo Ni miaka Minne sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom