Je mimi na wewe tunafikiria nini?

Je mimi na wewe tunafikiria nini?

akenajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
1,634
Reaction score
613
Many successful people have been interviewed over the years and asked thequestion,​
​
​
​
“What do you think about, most of the time?” Their answers are simpleand consistent, and yet so profound that they can be life changing. In short,​
successful people think about what they want, and how to get it most of the time.
 
Je wewe unaonaje? Je ni kila tunachotaka kinawezekana hata kama hakiwezekani? Umejifunza nini toka kwenye uzi wako? Je hao waliofanikiwa unawapima kwa vigezo gani? Je kuna kufanikiwa au ni jinsi tunavyotathmini? Wangeniuliza mimi ningesema mafanikio yangu huyapima kwa kiasi cha furaha niipatayo badala ya mali niziwazazo au kutaka kuwa nazo.
 
Kula like kubwa,natumia cm kitufe cha like kimegoma,Yes kipimo cha mafanikio yetu ni furaha na amani tuliyonayo baas! Na la kuongezea lingine nii kuishi maisha yampendezayo Mungu huo ndo utajiri mkubwa.
 
Back
Top Bottom