ndo iwe siku mbili tuHiyo mimba imetoka kaka! Tena imetoka kwa usalama mkubwa! Ukiona umetoa mimba af damu nyingi zinatoka sehem za siri tena kwa siku nyingi hiyo mimba haijatoka vizuri(incomplete).. imetoka tena vizuri kuwa na amani
Yah mimba ya mwezi mmoja ni ndogo sana kaka! Mwanamke kutokwa na damu nyingi na kwa siku nyingi sio ndo kwamba mimba imetoka ila ni ishara kwamba haijatoka yote! Hiyo mimba imetoka kaka muulize kama kama bado anahisi dalili zozote za mimba!ndo iwe siku mbili tu
Naonga mkono hoja! Tena imetoka salama kabisa!Hiyo mimba imetoka kaka! Tena imetoka kwa usalama mkubwa! Ukiona umetoa mimba af damu nyingi zinatoka sehem za siri tena kwa siku nyingi hiyo mimba haijatoka vizuri(incomplete).. imetoka tena vizuri kuwa na amani
baadhi ya dalili bado zipo mfano hapendi wali kabisa na harufu ya mafuta yangu nayopaka,,ila dalili zingine kama uchovu na kulala sana saiv hazioniYah mimba ya mwezi mmoja ni ndogo sana kaka! Mwanamke kutokwa na damu nyingi na kwa siku nyingi sio ndo kwamba mimba imetoka ila ni ishara kwamba haijatoka yote! Hiyo mimba imetoka kaka muulize kama kama bado anahisi dalili zozote za mimba!
Imetoka hiyo mimba! Dalili zote haziwezi toka kwa siku moja! Uchovu na kulala ndo dalili zinazoondoka mapemabaadhi ya dalili bado zipo mfano hapendi wali kabisa na harufu ya mafuta yangu nayopaka,,ila dalili zingine kama uchovu na kulala sana saiv hazioni
alitumia combination zote miso na mife,,mbili iliweka kwa vaginal mbili akanywa na maji.Sijui kwanini mnatumia dawa bila kuwa na elimu tosha dhidi ya dawa??
Ulitumia dawa zipi? Combination ya misoprostsol na mifepristone au misoprostol peke ake??
Na hizo dawa alitumia kwa njia gani? Oral,sublingual au per vagina??
navyojua mm damu huwa inatoka hadi siku saba na kuendelea
😆😆😆😆😆😆😆🙌Basi mrudishe hospitali ili damu iweze kutoka wiki na kuendelea!
Hivi hizi dawa hua zinauzwa pharmacy?Sijui kwanini mnatumia dawa bila kuwa na elimu tosha dhidi ya dawa??
Ulitumia dawa zipi? Combination ya misoprostsol na mifepristone au misoprostol peke ake??
Na hizo dawa alitumia kwa njia gani? Oral,sublingual au per vagina??
navyojua mm damu huwa inatoka hadi siku saba na kuendelea