Je, Mh. Rais katususia nchi?

mnataka hata kuku akiibiwa rais atoe tamko.rais nu mkuu wa nchi nampongeza kwa kukaa kimya na kuwaachia vuongozi wengine walishughulikie,yupo pm.na pia wapo mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya.separatuon of power ni msingi muhimu ktk taifa lolote la kidemokrasia.maana wakishindwa kutatua kabisa ndio rais anakuja kutoa kauli ya mwisho.toa hoja zako kama msomi na mzalendo.
 
hivi kuhusu gesi ya Mtwara alishasugumzia au ni upepo tu utapita?
 

acha udomo kaya wako

1.suala la matokeo mabaya, rais ameunda tume chini ya waziri mkuu ije na majibu ya chanzo hasa ni nini

2.mfumuko wa bei waziri wa fedha wilium mgimwa ameuelezea vizuri sana na kwa kina hivi majuzi na akasema ni tatizo la uchumi wa dunia kuyumba tanzania ikiwemo lakini tanzania kama nchi inalitafutia ufumbuzi kwa benk kuu kusapoti mabenk na taasisi zingine za fedha ili kustabilize uchumi
3. vurugu za kidini wasaidizi wa rais wameenda kwenye maeneo husika akiwemo waziri mkuu alipoenda huko geita,na huko znz alienda nchimbi waziri wa mambo ya ndani pamoja na rais wa znz na hatua kadhaa zimechukuliwa ikiwa ni pamoja na kuwakamata na kuwahoji baadhi ya washukiwa..

AU WEWE UNA PHOBIA NA SAUTI YA RAIS
 
rais ni taasisi kwa hiyo akizungumza msaidizi wake imetosha, acha uzushi
 
mtu ukikaa peke yako chumbani huna kazi unaanza kujiwazia mambo ya ajabu ajabu tu.
 

Mkuu mi napata taabu kuelewa ulichoandika hapa, hebu rudia kuisoma then utagundua kuwa haujasomeka.
 
mimi naona kama mnamuonea kipenzi chetu JK. Mbona siku zote yuko kimya tu akiendelea na safari zake za ughaibuni na nchi bado inaendelea kuwa na amani na utulivu.Kwanza nchi iko kwenye autopilot, kwani hamjasikia kama tumeshaingia digitali?
 


ukickia wa2 "K" na "t" ndo ww, post zako karibu zote huwa ni ush.....uzi mtupu.
 

:shetani:Unaongelea MTALII? yeye kila siku anatalii tu nchi za nje wakati hali ni mbaya nchini hajali,anadai ziara zake nje zina manufaa kwa Watanzania kwa sababu anaenda kuongeza mikopo hadi kufikia TRILIONI 22 nani atakaeubeba mzigo wooooooote huo? OLE WAO WATOTO WETU NA WAJUKUU WETU:A S 39::nono:
 
Rais ambae hawezi kufanya maamuzi.Anasubiri hadi upepo upoe na jambo liishe lenyewe!Kweli Rahisi tunae!ameharibu ile taasisi imekuwa kama NGO ambayo hata waliomaliza form 4 juzi wanaweza kuwa Rais!

hahaha hivi yupo?
 
Anasubiri jambo linalomfagilia yeye na chama chake aje kujifagilia kwa wadanganyika!
 

Ratiba ya kuongea na wazee wa CCM mkoa wa Dar es salaam haijakamilika maana hao wazee pekee ndiyo wanajua na kutambua mustakabali wa Taifa.
 
Jiandaeni kubeba misalaba ya kulipia safari na perdiem kwenye bajeti kwa misimu miwili kuanzia mwaka huu Pasco hujapewa tenda ya kuandaa documentary ya uongozi na mambo mazuri ya JK 2005-2015?
Mkuu Kanga, sijabahatika kupewa tenda yoyote ya publicity ya Ikulu. Ikitokea, tutaifanya ili kuhakikisha 2015, Watanzania wanaiaminia tena CCM na kuipatia fursa nyingine ya kuendelea kututawala na kutuletea maendeleo mengine makubwa zaidi ya barabara za juu kwa juu na daraja la kigamboni!.
Pasco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…