Hivi kama akakubali kuolewa na huyo jamaa swli hapo je? Nani mwanume ??maana duu nisiongee mengiAmani iwe kwenu waungwana
Ndugu zanguni swali langu kama bandiko linavyojieleza ni kuhusu dada yetu,kipenzi chetu mbunge machachari mh halima mdee mbunge wa kawe
Je ana mume kama hana mume kuna mtu hapa anataka kukamilisha taratibu zote ili achukue jiko kama makubaliano yatapita maana bwana huyo anasema amevutiwa na halima muda mrefu na amesubiri kusikia kama kuna mtu atajitokeza hata wa udhushi kujitangaza ndie mmiliki wa halima
au yeye halima kutangaza lakini haijatokea,sasa yeye amesema yupo tayari kumuoa halima na kumuondolea upweke na matatizo ya kibaolojia yanayosababishwa na upweke,hivyo ni ombi letu kila mwenye kufahamu atufahamishe kama mjuavyo ndoa ni jambo la kheri na heshima,
Aksanteni mjumbe hauwawi!
alietangaza kuoaHivi kama akakubali kuolewa na huyo jamaa swli hapo je? Nani mwanume ??maana duu nisiongee mengi
Na nani tumjueKaolewa siku nyingi tu mbona
mkuu mimi ni mjumbe tu,mimi tayari ninalo toto la kichaga hapa!Si useme ni wewe tu mwana Chadema mpinga serikali kila sekunde.
Ha ha haaaaaaa
Sasa mbona wengi mmeshaanza kumtamani!mimi midomo yake inanimaliza kabsaaaa
Itafahamika tu!Halima u tom boy unampotosha anapenda sana mambo ya kiume kuliko ya kike......ila siku hizi amebadilika kidogo naona anajiweka kike kike ila ukaribu wake na Ester Bulaya