Kuna watu hawa:
1. Mentor
2. Mshauri
3. Rafiki
4. Msiri
5. Mshenga
6. Mshikaji
Usichanganye hawa watu kila mmoja ana kazi yake. Kwa suala lako unaulizia mshauri na sio mentor. Mentor anafanya kazi ya kukufundisha (grooming) jambo flani na anaweza asiwe mshauri mzuri.