Mbowe yupo salama kiafya? Kwanini ndugu na wakili wakataliwe kumwona?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Nimesikia Mhe. Mbowe ajaruhusiwa kuonana na ndugu zao Wala wakili wake. Hii siyo ishara nzuri nadhani anaweza kuwa na tatizo maana inabidi ujiulize anakula wapi na nani anampelekea chakula?

Kwa aina ya mahabusu zetu hakuna chakula, Kama mtuhumiwa mzee wa umri wa Mbowe asipokula na stress za mahabusu lazima afya itadhorota na mwosho wa siku akiwa unconscious wakati alikamatwa akiwa na sia njema upelekea dola kuficha ukweli.

Ni Bora familia ikafuatilia kwa karibu kujua afya yake na hii haki yao na kuishi ni haki ya Mhe. Mbowe pia. Ili uishi lazima ule. Lakini pia anayo haki yakujua taarifa za msiba wa baba yake aliyefariki kwa mshtuko.

Hizi habari zikiendelea kusambazwa na vyombo vya habari ndani na nje zinazua taharuki na kuchafua nchi na wananchi pasipo na sababu ya msingi.
 
huyu Gaidi alitakiwa ahamishiwe Guantanamo Bay Detention camp.
ni vyema Jeshi letu likashirikiana kwa karibu sana na interpol kwaajili ya upelelezi zaidi.
Na magaidi washenzi Wapuuzi wa CCM waendelee kudunda mtaani
 
Nimesikia Mhe. Mbowe ajaruhusiwa kuonana na ndugu zao Wala wakili wake. Hii siyo ishara nzuri nadhani anaweza kuwa na tatizo maana inabidi ujiulize anakula wapi na Nani anampelekea chakula? Kwa aina ya mahabusu zetu hakuna chakula, Kama mtuhumiwa mzee wa umri wa Mbowe asipokula na stress za mahabusu lazima afya itadhorota na mwosho wa siku akiwa unconscious wakati alikamatwa akiwa na sia njema upelekea dola kuficha ukweli. Ni Bora familia ikafuatilia kwa karibu kujua afya yake na hii haki yao na kuishi ni haki ya Mhe. Mbowe pia. Ili uishi lazima ule. Lakini pia anayo haki yakujua taarifa za msiba wa baba yake aliyefariki kwa mshtuko.


Hizi habari zikiendelea kusambazwa na vyombo vya habari ndani na nje zinazua taharuki na kuchafua nchi na wananchi pasipo na sababu ya msingi.
Nafikiri yupo vyema, anaendelea kufuga ndevu kusudi akitoka awe na ushawishi wa kisavimbi!
 
Back
Top Bottom