Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,520
- 830,064
Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufunga mjadala.
Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana.
Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA, chama kilichopokea wale waliokimbia CHADEMA lakini amekuwa kimya kabisa mpaka sasa.
Sasa wahuni waliojitoa CHADEMA wamelitumia jina lake vibaya kuwakusanya viongozi wa mikoani ili akidi itimie wafanye justification ya upigaji.
Baadhi ya viongozi hao wamechukizwa na usanii waliofanyiwa na wameamua kufunguka waziwazi.