mjombajona
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 262
- 50
Kutokana na ugumu na misukosuko mbalimbali ya majukumu ya kikazi katika baadhi ya Wizara kama hii ya leo Bungeni ya Ardhi,(Hata CCM waliochangia wengi leo hawaungi mkona hoja!), au Wizara ya Maji, au Wizara ya Nishati na madini ukilinganisha na Wizara kama ya Afrika Mashariki, Wizara kama ya Habari na Michezo au Foreign affairs ambazo hupitisha bajeti zake kilaini tu, nauliza hivi mishahara yao hawa Waheshimiwa iko flat rate kwa kila Wizara au inatofautiana kutokana na ugumu wa Wizara, najua wapo wenye kulijua hili JF.