Je, Master J huwa anampiga Shaa?

kuna siku nilikuwa nimechill tu nyumbani na mjomba wangu, ni mdogo hivi ana miaka kama 7 hivi, akawa ananilalamikia mama ake anamchapa, nikawa namwambia mtoto wa kiume uvumilie hata ukipigwa usilielie, akaniambia kwani we ukipigwa hulii nikamwambia yes, sasa akawa ananipiga makofi ya mkono hivi kama utani nikawa namwambia nipige tena siumii akawa anapiga kwa nguvu zaidi lakini wapi

sasa nikawa busy na simu huku ananipiga sijui alipata wapi idea ya ku-improvise akaniwasha kofi la uso aisee kwa mara ya kwanza niliona nyota nyota, sikujua kama kofi huwa linauma kiasi hiko, nikasema sitakuja kumpiga mtu kofi la uso hata iweje maana kama mtoto tu inakuwa hivyo je mimi mtu mzima nikimlabua mtu.

So Mke wangu hata akiniudhi nampotezea tu, hakuna cha ngumi wala kofi maana yote yanauma sana, akiniboa zaidi namyima hela tu, hilo ni teso tosha. . .
junior huyoo!anampga baba ake!!!
Kofi la uso achana naloo!
 
Kuna interview moja alikuwa anahojiwa master j akasema imechukua miaka 10 kuvunja ndoa yake kwasababu mke wake alikuwa anaweka pingamizi hakutaka ndoa ivunjwe
Na mwaka huu ndio mwanamke ameridhia na utaratibu wa ndoa ya kikiristo kama mke na mme hawajakubaliana ndoa haivunjwi
Huwa kila baada ya miezi sita mnaitwa mmoja akisema hayupo tayari mnapewa miezi sita ya kujitafakari
Yule mkewe si ndo yule prophetess trizah? Yule nabii, na Sasa ameolewa na mzungu kitambo kabisa
 
Mwanamke anapigwa ila siyo kile kipigo cha mbwa mwizi au kama unapigana Mwanaume mwenzio. Ila kutompiga ni bora zaidi.

Anayepinga hili hawajui wanawake. Hapa kuna Wanawake nawaoana wanasema akipigwa na Mwanaume anarudisha au anamvizia. Huyu hajawahi kupigwa kile kipigo,unapigwa hata kuongea unashindwa bali hata kurudisha unashindwa.

Aisee,wanawake wana maudhi sana.
 
Back
Top Bottom