Je, Marekani ni Koloni la Wayahudi? Pima mwenyewe

Kwamba Wayahudi ndiyo chanzo cha matatizo ya dunia na kumomonyoka kwa maadili ya Marekani.
Hili halijakaa sawa hata kidogo. Nakubali Wayahudi wana ushawishi mkubwa sana kwenye siasa ya Marekani na kweli wameharibu sana ile nchi; lakini ukweli utabaki kwamba Marekani imeanza kuharibika baada ya kupata uhuru.
Ubaguzi wa rangi, biashara ya utumwa, kupenda kumwaga damu za watu, ubaguzi wa kidini na kujali pesa kuliko utu vilikuwepo hata kabla ya Federal Reserve na Wall Street.
Mi binafsi sioni kama kuna uongo,maana mayahudi kwa Marekani wameshika wizara zote nyeti,ikiwemo yauhusiano wa kimataifa,sasa mkuu huoni kuwa wizara za mambo ya kimataifa kwa marekani kidunia ina impact kubwa sana na ina weza kufanya makubwa ulimwenguni,kaka mayahudi wana mtandao mkubwa sana duniani,jewsh lobby
 
Koloni ni Eneo au nchi iliyo chini ya utawala wa nchi nyingine(nchi mama) Iliyo mbali!!
Na Mara nyingi nchi hiyo huwa haina muwakilishi wake huru wa kimataifa( no independent international representative) na utawala wake wa juu huwa hushinikizwa au kuwekwa na Nchi mama!!
Sasa kwa kigezo hicho Marekani haiwez kuwa koloni LA Israel labda kinyume
Kwani Kijeshi marekani inanguvu Mara kadhaa kwa Israel na mambo mengi ya kisiasa kuhusu Israel imekua ikipata msaada kutoka kwa Marekani!!
Sabab moja ya kusema Marekan haikuchukua hatua dhidi ya uvamizi wa Israel ambao Israel iliufanya haitoshi kutoa conclusion rahis hivo!!
Ikumbukwe Israel na marekani wana uhusiano mzuri wa kidipromasia hivo Yawezekana ilijiridhisha na utetezi wa Israel

Unaweza ukawa uko sawa na pia ukawa uko mbali kabisa na kuelewa nilichokiandika hapo juu.
Lakini nikushauri usiangalie neno KOLONI katika minajili ya kamusi ya Oxford, hili ni neno la kisiasa.
 
Mi binafsi sioni kama kuna uongo,maana mayahudi kwa Marekani wameshika wizara zote nyeti,ikiwemo yauhusiano wa kimataifa,sasa mkuu huoni kuwa wizara za mambo ya kimataifa kwa marekani kidunia ina impact kubwa sana na ina weza kufanya makubwa ulimwenguni,kaka mayahudi wana mtandao mkubwa sana duniani,jewsh lobby

Sikukatalii mkuu wangu AIPAC ina nguvu sana Marekani.
Lakini biashara ya utumwa na ubaguzi wa rangi Wamarekani wamefundishwa na Wayahudi?
 
Unaweza ukawa uko sawa na pia ukawa uko mbali kabisa na kuelewa nilichokiandika hapo juu.
Lakini nikushauri usiangalie neno KOLONI katika minajili ya kamusi ya Oxford, hili ni neno la kisiasa.
Sasa nisiangalie neno koloni kwa mujibu wa kamusi!! Ni angalie kivip maana hiyo ndio itanipa picha unaongelea nini!! Au wewe una maana yako ya maneno na kamusi yako!!..
Kama ndio hivo bas sawa maana mi nilijua Tunajadili kulingana na maana halisi ya kauli na maneno ulotumia!!
 
Neno ukoloni ni pana.
Ukisoma kamusi ya Cambridge ya maneno ya kisiasa utapata maana zaidi.
Ukoloni una sura nyingi, na unajidhihirisha katika namna tofauti.
Siyo lazima nikuvamie na jeshi na nianze kutoa amri ya moja kwa moja toka nchi mama (Metropole).
Hayo ni mambo ya karne ya 19 na hayakukubalika sana katika karne ya 20 na 21.

Ikumbukwe The League of Nations (Umoja wa mataifa) pindi vita ya kwanza ya dunia imeisha mwaka 1918.
Ilizipa nchi zilizoshinda vita kama Ufaransa, Uingerez na Ubelgiji makoloni ya Ujerumani na Ufalme wa Uturuki.
Walipitisha sheria za kimataifa kabisa ukisoma Ibara ya 22 ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa (Covenant of the League of Nation) utaona jinsi Umoja wa mataifa uriruhusu nchi kama Uingereza itawale Tanganyika mpaka itakavyoweza kujitawala.
Hii iliitwa The League of Nations Mandate System under Article 22. Lakini huku kwetu bado ulikuwa ni ukoloni wa kimfumo na ulipitishwa na sheria za kimataifa chini ya Umoja wa Mataifa.

Tangu lini nchi itashika hatma ya nchi nyingine?
Na ungejuaje kama Tanganyika iko tayari kujitawala yenyewe kama unyonyaji?
Na tukidadavua wewe ulivyosema, je Muingereza alivamia Tanganyika kijeshi au aliruhusiwa na Umoja wa Mataifa?

Haya hata baada ya vita ya pili kuisha mwaka 1945,
Umoja wa Mataifa (United Nations) ukaendelea na mchezo huo huo,
Kipindi hiki wakanzisha UNITED NATIONS TRUSTEESHIP COMMISSION ambapo nchi nyingine zikapewa hatama juu ya nchi nyingine mpaka zitakapoweza kujitawala.
Wewe huoni kama huu ni ukoloni hata kama hakuna uvamizi wa kijeshi?

Kwanini nchi kama Tanganyika, Rwanda, Burundi na Namibia zilienda kudai uhuru hata kama hazikuvamiwa kijeshi?
Mandate na Trusteeship systems zilianzishwa na Umoja wa Mataifa, wewe huoni kama ulikuwa ukoloni?
 
Hatuwezi kataa au kukubalimoja kwa moja,

Japo kwa sasa Marekani imeshikwa na Wayahudi na hawana chochote cha kusema.
Kuanzia Federal Reserve, Media, Vyombo vya ulinzi na Usalama, Burudani , Siasa, n.k
 
Neno ukoloni ni pana.
Ukisoma kamusi ya Cambridge ya maneno ya kisiasa utapata maana zaidi.
Ukoloni una sura nyingi, na unajidhihirisha katika namna tofauti.
Siyo lazima nikuvamie na jeshi na nianze kutoa amri ya moja kwa moja toka nchi mama (Metropole).
Hayo ni mambo ya karne ya 19 na hayakukubalika sana katika karne ya 20 na 21.

Ikumbukwe The League of Nations (Umoja wa mataifa) pindi vita ya kwanza ya dunia imeisha mwaka 1918.
Ilizipa nchi zilizoshinda vita kama Ufaransa, Uingerez na Ubelgiji makoloni ya Ujerumani na Ufalme wa Uturuki.
Walipitisha sheria za kimataifa kabisa ukisoma Ibara ya 22 ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa (Covenant of the League of Nation) utaona jinsi Umoja wa mataifa uriruhusu nchi kama Uingereza itawale Tanganyika mpaka itakavyoweza kujitawala.
Hii iliitwa The League of Nations Mandate System under Article 22. Lakini huku kwetu bado ulikuwa ni ukoloni wa kimfumo na ulipitishwa na sheria za kimataifa chini ya Umoja wa Mataifa.

Tangu lini nchi itashika hatma ya nchi nyingine?
Na ungejuaje kama Tanganyika iko tayari kujitawala yenyewe kama unyonyaji?
Na tukidadavua wewe ulivyosema, je Muingereza alivamia Tanganyika kijeshi au aliruhusiwa na Umoja wa Mataifa?

Haya hata baada ya vita ya pili kuisha mwaka 1945,
Umoja wa Mataifa (United Nations) ukaendelea na mchezo huo huo,
Kipindi hiki wakanzisha UNITED NATIONS TRUSTEESHIP COMMISSION ambapo nchi nyingine zikapewa hatama juu ya nchi nyingine mpaka zitakapoweza kujitawala.
Wewe huoni kama huu ni ukoloni hata kama hakuna uvamizi wa kijeshi?

Kwanini nchi kama Tanganyika, Rwanda, Burundi na Namibia zilienda kudai uhuru hata kama hazikuvamiwa kijeshi?
Mandate na Trusteeship systems zilianzishwa na Umoja wa Mataifa, wewe huoni kama ulikuwa ukoloni?
Ndugu mleta maada ni dhahiri unachosema hapa!! Lakin kama maada ndo ingekuwepo hii bas nisingekujibu kama ulivojibiwa kuhusu Israel vs Marekani!!

Si lazima nchi iitawale kijeshi!! Hapo sawa!!
Meaning: political under control"
Sasa haya mambo yanategemeana huwezi kumuweka mtu under political control wakati huna nguvu kijeshi ,kiuchumi n.k .....
Kwa mfano: kumradhi- Ni sawa tu na kuuawa watz na Rwanda AF tz ikafumbia macho afu ukaja ukasema tz ni koloni LA Rwanda thats impossible"
 
kuna sources zingine zinasema hata uingereza ana share yake marekani

Ukisoma Memoir za Marehemu Cecil Rhodes wakati ana miaka 23 alipendekeza Uingereza ivamie Marekani na kuifanya tena Koloni. Aliamini kwamba Waingereza (Anglo-Saxons) ndiyo jamii ya watu bora kabisa duniani. Hata akasema kwamba Uingereza ikitawala dunia kutakuwa na amani.
Lakini ukisoma Memoir zake za ukubwani utakuja kujua kwamba Rhodes aliachana na ndoto zake mfu baada ya kuona haitawezekana kirahisi. Alisema tu, njia bora ya kuwafanya Wamarekani wasiwe mbali na waingereza ni kujenga shirikisho la mataifa makubwa ambayo yatakuwa na mtizamo moja kwenye masuala ya kidunia.

Aliamua kuwapa ufadhili wanafunzi wengi wa Marekani hasa waliokuwa na uwezo mkubwa wa kuwa viongozi wa baadae.
Wengi walisoma chuo cha Oxford na Cambridge hivyo wakajengwa kwa mtizamo wa Uingereza. Ambao hata leo unaitwa ANGLO-AMERICA PERVIEW OF THE WORLD.
Hata alipokufa aliacha pesa (Trust Fund) kwa ajili ya kuendeleza huo mpango wake na ulichangia sana kuunganisha sera za Marekani na Uingereza.

Kabla ya vita ya Pili ya dunia The Rockefeller Foundation ilimuita mwana mkakati mashughuli duniani kutoka Uingereza anayeitwa Sir Halford Mckinder ili wapange mikakati ya siasa za Marekani baada ya vita ya dunia. Huyu jamaa ndiye aliyewafundisha siasa Henry Kissinger na Zbigniew Brzezinski.
Uingereza mpaka leo ana hisa Marekani kuanzia kwenye sera ya mambo ya nje na hata kiuchumi.

Suala la kujiuliza ni kwanini Waingereza na Wamarekani ndiyo walihangaika sana kuwasomesha Watanzania pindi baada ya kupata uhuru kupitia The Rockerfeller Foundation na Cecil Rhodes Trust Fund?
Wakina Mahiga, Chenge, Justinian Rweyemamu na n.k walisoma kwa kupitia hizo njia.
Yote hii ni kuweka hisa kwenye sera za mambo ya nje za Tanzania na nchi za Afrika.
 
Ndugu mleta maada ni dhahiri unachosema hapa!! Lakin kama maada ndo ingekuwepo hii bas nisingekujibu kama ulivojibiwa kuhusu Israel vs Marekani!!
Kwa mfano: kumradhi- Ni sawa tu na kuuawa watz na Rwanda AF tz ikafumbia macho afu ukaja ukasema tz ni koloni LA Rwanda thats impossible"

Kuua tu siyo maana yangu nzima ndugu yangu,
Lakini madhara ambayo yangetokea baada ya yale mauaji pindi Marekani angelipua Cairo na silaha za Kinyuklia.
Ingetokea vita ya dunia; na lazima ingetokea tu.

Halafu nimeweka nukuu ya Ariel Sharon hapo juu kabisa, kwanini hujaipitia?
Kwanini Wamarekani hawakusema chochote dhidi ya Israel?
Je, kweli Wayahudi wanaiongoza Marekani kama alivyosema Sharon?
Hayo ndiyo Maswali muhimu kwenye bandiko langu na siyo nini maana ya KOLONI.
 
Hii ni ajali tuu na investigations from both sides concluded that na kulikuwa hakuna agenda yeyote , story yako ni za conspiracy theorist waliokataa ukweli wa yaliyotokea
 
Hii ni ajali tuu na investigations from both sides concluded that na kulikuwa hakuna agenda yeyote , story yako ni za conspiracy theorist waliokataa ukweli wa yaliyotokea

Kwa hiyo Secretary of State, Naval Intelligence na POTUS wote ni conspiracy theorists?
You are in deep denial my friend.
Deep.........
 
Kwa hiyo Secretary of State, Naval Intelligence na POTUS wote ni conspiracy theorists?
You are in deep denial my friend.
Deep.........
An attack was a case of mistaken identity,no evidence of intent to attack a US vessel etc .Hizo zote ni official conclusion from separate investigations zilizofanywa na Congress,US Naval, CIA etc POTUS or secretary walichosema ni opinion zao kama watu wengine tuu like you and me and nobody cares lakini official investigations zote zina point to NO INTENT
 
Basi hata Bush aliiripua New York 9/11 ili apate sababu ya kuivamia Iraq

Eeeh bwana eeeh!
Basi hata Wahutu wanasingiziwa tu, ile Genocide ya Rwanda ilisababishwa na Kagame na RPF.
 
Joke aside Mr Malcolm huwa na enjoy sana post zako ingawaje sometimes sikubaliani nazo, vipi are you lawyering in real life or just a smart a$$ know it all
 
Mfano issue ya Syria ni Israel anaye mcontrol USA aidha awashambulie Isis mpk nguvu yao ipungue na pia awaache wapate nguvu waisumbue regime

Bahati nzr urusi kaenda kuharibu
 
Back
Top Bottom