Nasubiri tamko....makonda ana mikono michafu damu za watu zinamlilia...Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.
Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Mnanikumbusha MAKIRIKIRI wa mchungaji na yule aliye tuonyesha pyupyuu hadharaniSerikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.
Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Mpaka useme bado haujasema, na Sabaya is loading , vichuki vyenu na husuda juu ya viongozi majasiri na wapenda haki zimefika mwisho.Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.
Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Alikuuwa wewe ? Kuna ndg Yako kauwawa? Kuna Rafiki yako kauwawa?Nasubiri tamko....makonda ana mikono michafu damu za watu zinamlilia...
Kama hao US wana ushahid wa kutosha dhidi ya Makonda,wauletee vyombo vyetu vya sheria viufanyie kazi,na siyo kusema maneno matupu bila facts!!Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.
Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Ushindwe na ulegee na kwenda zako kama mwendazakempaka useme bado haujasema, na sabaya is loading , vichuki vyenu na husuda juu ya viongozi majasiri na wapenda haki zimefika mwisho.
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.
Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Damu ya mtu huwa haipotei bure....karma is a bitchAlikuuwa wewe ? Kuna ndg Yako kauwawa? Kuna Rafiki yako kauwawa?
jibu kakuuwa? kamuuwa nani? kamwaga damu ya nani? ukiendekeza haya mambo ya kusikia hauwezi kudumu na mke au mume miaka mitano. Ushauri tuDamu ya mtu huwa haipotei bure....karma is a bitch
Nashindwaje na nalegea vipi wakati haki inapatikana kwa mliowachukia bila sababu.Ushindwe na ulegee na kwenda zako kama mwendazake
Israel anajilinda kwa kuwaua wanaotaka kuwaangamiza Waisrael.Netanyahu anaua watu kila kukicha lakini ni rafiki wa Marekani
Magaidi wa Hamas na Hizbollah.Anawaua akina nani ?
Kwa umaskini huu wa Tanzania, BRICS itakupa nini wakati wewe ni mtembeza bakuli? Uliwahi kuona ombaomba anatoka Dar, anahamishia kituo chake Mwandiga?Wakisitisha uhusiano itakuwa safi sana. Watatupa nafasi ya wazi kabisa kujiunga BRICS bila kupigiwa kelele za kijingajinga.
Karma is a bitchjibu kakuuwa? kamuuwa nani? kamwaga damu ya nani? ukiendekeza haya mambo ya kusikia hauwezi kudumu na mke au mume miaka mitano. Ushauri tu
Damu za watu zitaendelea kumshtakia muuja Makonda maisha yake yote.Alikuuwa wewe ? Kuna ndg Yako kauwawa? Kuna Rafiki yako kauwawa?
Kuna hii kanuni ya KUFIKIRIA NDIO UAMUE , Na kuna hii attitude ya KUJIKWAMUA UKISHAINGIA KATIKA JANGA!Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.
Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Marekani ukiingilia maslahi yao ndipo utakapojua kuwa hujui !!Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.
Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Ameshasamehewa coz aliekua anafanya kazi chini yake hayupo na maslahi ya hao jamaa yanalindwa,hivyo imekwisha tunaanza upyaSerikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.