Je marekani itafilisika? (wataalamu wa uchumi tupeni ufafanuzi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je marekani itafilisika? (wataalamu wa uchumi tupeni ufafanuzi)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MIUNDOMBINU, Jul 29, 2011.

 1. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kuna suala la deni la ndani la marekeni, hivi karibuni limekuwa likiongerewa sana ktk vyombo vya habari hasa vya inje ya inchi. Eti marekani inakabiriwa na deni kubwa sana eti km hatua muhimu hazitachukuliwa ndani ya muda mufupi itatangaza kufilisika kabisa!.

  Sasa ndg zangu wana jf hebu tupeni ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu hili, maana wengine tunashindwa kuelewa.je inakuwaje wafiisike ndani ya muda mfupi tu.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,294
  Likes Received: 22,072
  Trophy Points: 280
  China kuongoza dunia soon
   
 3. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
 4. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Wakubwa, mkopo ni sehemu ya biashara yoyote ile. Tatizo linaloikumba America leo ni viongozi vijana ambao sio wanasiasa ambao wameshinda na wamesema wanakuja kukomesha tabia ya ukopaji ya America. Vijana hawa maarufu kama Tea Party sio career politician, bali ni watu wenye idea za mlengo wa kulia. Wamekataa kuipa serikali ya Obama uwezo wa kukopa zaidi ya kiwango cha sasa, unless Obama akate matumizi sawa na kiwango anachotaka kuongeza kukupa. Maana Moja toa moja.

  America inapita kwenye wakati mgumu kama ilivyokuwa miaka ya themanini, jee inaweza kurudi na kusimama? I guess yes, lakini mengi inabidi yafanyika na moja wapo ni KUMTOA Mkenya madarakani sababu hajui anachofanya.

  China ina Population mara 4 ya Marekani, lakini America ina uchumi twice wa China, sasa wewe kama unajua hesabu angalia nani ana stronger economy hapo. Pili USA ananunua almost 30% ya output zote zinazo zalishwa china, so China can't afford weak US economy.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  MTANGANYIKA
  labda obama alitakiwa afanye nini????????
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  2015 China itakuwa nchi inaongozoza kwa uchumi imara dunia!
  Kweli Marekani kama itaendelea kukopa itafilisika kutokana na mzigo wa madeni kwa sasa Marekani ina deni la $ 14 Trillion
   
Loading...