gim
Senior Member
- Jan 28, 2022
- 131
- 239
Wakuu habari za muda huu.
Wakati wa nyuma kipindi cha hayati John Pombe, kulikua na vichwa viwili vilivyokua havikosi kuleteana maneno ya hapa na pale kwenye Instagram, yupo aliyempigania hayati na mwingine anaponda utawala wa hayati. Yupo Mange kimambi na mwenzake Le mutuzi mobimba, hawa watu wakiwekwa chumba kimoja mmoja lazima avuje damu.
Sasa kubwa nalotaka kujua ivi kuna uhusiano gani kati ya Mwanamama huyu Mange kimambi na familia ya kina Malecela, hasa kutokana na hili la kuondokewa kwa Dr malecela ndugu yake na Le mutuz.
Je, hawa watu wawili Le mutuz na Mange kimambi kipindi wanarushiana maneno walikua wanatuigizia hali ya kuwa wanafahamiana?
Ova.