joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 15,297
- 32,081
Ukitenda ubaya ubaya utakurudia automatically, huo ubaya anao ufanyia wenzie kwa kuwazushia nae unamrudia, malipo ni hapa hapa duniani.Mbona ameshawahi kuiandika na kuclarify hilo, wewe kutoiona haimaanishi haipo!
Halafu Mange hajashindwa mirathi bwana, wamegawiwa mali wote. Sources zako mbona hazina facts mama?
Usigubikwe na chuki, najua Mange kachafua wengi mjini hapa tena sometimes kwa kufabricate uongo mbaya sana ila usilipe ubaya kwa ubaya!
Huyu nilipo muona chizi akijibizana na watu kuhusu baba yake kufanyiwa vitendo vya kifirauni,mtu mwenye akili na anayeheshimu hadhi ya baba yake angekaa kimya kuliko kujibizana na watu. Mitandao ya kijamii imetuzalishia machizi wengi ambao kwa wapuuzi walio wengi wamewapa sifa ya uwanaharakati na siku hizi ana app yake anaendelea kupiga hela kwa kuwachafua wenzake.
App yake inaendelea kuharibu reputation za watu mf yule demu Mina Ally wa habari ile video zilianzia kwenye app yake wakati si kweli. Mange akiongea chochote wale wafuasi wake aka "Da Mange kasema......." wanakichukua kama kilivyo,hawa helewi hata wakijitetea vipi.