Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,587
Salute mkuu Sokoro..mfano wa pili ni ikulu ya farao katika kitabu cha mwanzo inaonyesha kuwa ilikuwa na wataalamu wa mambo ya kiroho kwa imani ya farao au ya kimisri, kwa mfano ikulu ilikuwa na waganga, wasihiri na wengineo ambao walitumika kumlinda farao dhidi ya adui zake wa kipindi hicho
Mkuu kama hutojali, tafadhali tupe ushahidi kuonyesha malaika waasi 200 ndio waliofundisha matumizi ya nguvu za kirohoSalute mkuu Sokoro..
Umeeleza vizuri sana lakini hapo kwenye watu wa farao umeharibu kidogo. Unajua kunatofauti kati ya Uchawi/Uganga na matumizi ya Nguvu za kiroho/Power within. Kiukweli wale wa misri walikua ni waganga,wanajimu na wapiga ramli. Walichokua wanakifanya kilikua kinyume na Mungu. Mkuu unajua pia matumizi ya hayo mnayoita kua ni Mambo ya kiroho pia ni kinyume na Mungu..? Waliotufundisha taaluma hiyo ni wale malaika waaasi 200. Wewe destiny yako anayeijua ni Mungu wako (If u believe ni God) kwanini usumbuke kutaka kujua kesho itakuaje? Kula kwako, usalama wako,kuishi kwako n.k kupo mikononi mwa Mungu acha kuisumbukia kesho Anaijua Mungu.
And Azâzêl taught men to make swords, and knives, and shields, and breastplates, and made known to them the metals of the earth and the art of working them, and bracelets, and ornaments, and the use of antimony, and the beautifying of the eyelids, and all kinds of costly stones, and all colouring tinctures. And there arose much godlessness, and they committed fornication, and they were led astray, and became corrupt in all their ways. Semjâzâ taught enchantments, and root-cuttings, Armârôs the resolving of enchantments, Barâqîjâl, taught astrology, Kôkabêl the constellations, Ezêqêêl the knowledge of the clouds, Araqiêl the signs of the earth, Shamsiêl the signs of the sun, and Sariêl the course of the moon.Mkuu kama hutojali, tafadhali tupe ushahidi kuonyesha malaika waasi 200 ndio waliofundisha matumizi ya nguvu za kiroho[/QUOTE
Mkuu haya maelezo umeyatoa wapi/source?And Azâzêl taught men to make swords, and knives, and shields, and breastplates, and made known to them the metals of the earth and the art of working them, and bracelets, and ornaments, and the use of antimony, and the beautifying of the eyelids, and all kinds of costly stones, and all colouring tinctures. And there arose much godlessness, and they committed fornication, and they were led astray, and became corrupt in all their ways. Semjâzâ taught enchantments, and root-cuttings, Armârôs the resolving of enchantments, Barâqîjâl, taught astrology, Kôkabêl the constellations, Ezêqêêl the knowledge of the clouds, Araqiêl the signs of the earth, Shamsiêl the signs of the sun, and Sariêl the course of the moon.
Mkuu hapo kwenye rangi nyekundu umeelewa?
Cc
Iyegu
Kuna ukweli mkuu, Mimi hunitokea Sana nafsi kusita Kufanya jambo na tangu nijijue basi ikisita naacha, 2014 nilinusurika kifo kama nafsi isingenisuta baas ningekuwa marehemuheko kwenu wadau wa hili jukwaa la wachache,
Mimi binafsi huwa natumia spiritual intelligence kuweza kutambua kama niko salama, nitakuwa salama kesho au kuna jambo baya laweza nitokea baadae ama likamtokea ndugu yangu wa karibu au rafiki pia. Hata hivyo kuna mengine huwa siwezi yaona katika ulimwengu wa kiroho maana Mola hunionyesha anachotaka nijue, asichotaka hunishitukiza tu na kutokea ghafla.
Ninaposema spiritual intelligence namaanisha 'UJUZI WA MAMBO YA KIROHO' yaani mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida ila yapo na huenda yakakutokea hata leo au kesho.
jambo hili limekaa kiimani lakini bado linabaki lenye maana na umuhimu mkubwa sana kwa ulinzi wa mtu yeyote yule.
wale wasomaji wa biblia na wanaoamini katika biblia au imani nyingine watakuwa wanaelewa ninachozungumza hapa, kwasababu kwenye biblia kuna mifano kadhaa inaelezea jambo hili kwa ufasaha zaidi,
mfano wa kwanza ni Yusufu wa kitabu cha mwanzo yaani mwana wa yakobo alionyeshwa ndoto iliyoonesha baba yake na wakubwa zake wanamuinamia, alipoisema ndoto hii wakubwa zake walimchukia na kumkebehi lakini baada ya miaka kadhaa baadae walikuja kumsujudia yusufu kule nchini misri wakati alipokuwa waziri wa chakula na baadaye waziri mkuu.
mfano wa pili ni ikulu ya farao katika kitabu cha mwanzo inaonyesha kuwa ilikuwa na wataalamu wa mambo ya kiroho kwa imani ya farao au ya kimisri, kwa mfano ikulu ilikuwa na waganga, wasihiri na wengineo ambao walitumika kumlinda farao dhidi ya adui zake wa kipindi hicho.
lakini mbali na hilo kuna watu kadhaa katika dunia hii wamewahi kuota au kuona kuwa kama siku fulani wangesafiri bhasi wangepata ajali na kufa au kuumia, walipoahirisha kusafiri ajali ilitokea na ikaua watu kama alivyoota au kuona katika maono.
wengine hawaoti wala kuona maono lakini nafsi zao huwazuia kabisa kufanya kitu fulani iwapo tu kitawaletea hatari fulani katika maisha.
Najiuliza tu hivi ikulu kuna wataalamu wa haya mambo ya kiroho ili kuipambanua kesho ya nchi fulani/mtawala au kiongozi fulani katika ulinzi na mengineyo?
karibuni wajuzi.
The book of EnochMkuu haya maelezo umeyatoa wapi/source?
Hatuendelei kwa Sababu hii, ikiwezekana Piga Hata Hesabu ya Miaka 600 MbeleSalute mkuu Sokoro..
Umeeleza vizuri sana lakini hapo kwenye watu wa farao umeharibu kidogo. Unajua kunatofauti kati ya Uchawi/Uganga na matumizi ya Nguvu za kiroho/Power within. Kiukweli wale wa misri walikua ni waganga,wanajimu na wapiga ramli. Walichokua wanakifanya kilikua kinyume na Mungu. Mkuu unajua pia matumizi ya hayo mnayoita kua ni Mambo ya kiroho pia ni kinyume na Mungu..? Waliotufundisha taaluma hiyo ni wale malaika waaasi 200. Wewe destiny yako anayeijua ni Mungu wako (If u believe ni God) kwanini usumbuke kutaka kujua kesho itakuaje? Kula kwako, usalama wako,kuishi kwako n.k kupo mikononi mwa Mungu acha kuisumbukia kesho Anaijua Mungu.
Samahani mkuu una nakala ya hichi kitabu ?The book of Enoch
Ndio mkuu... Yamakagashi...Samahani mkuu una nakala ya hichi kitabu ?
Kama hutojali Mkuu unaweza kutuwekea hapaNdio mkuu... Yamakagashi...
Wait nitakupatia... note thatKama hutojali Mkuu unaweza kutuwekea hapa
Kuna watu hawana koromeloMkuu haya maelezo umeyatoa wapi/source?
Sidhani kama anao sababu most of walinzi wake wanakuwa recruited from military. Mafunzo yao yanabase sana kwenye talent na physical world than spiritual.heko kwenu wadau wa hili jukwaa la wachache,