jamani wana jf kwa muda mrefu nimekua nikitafakari kua je watoto mapacha ni baraka au si baraka kua nao?? kuanzia swala la malezi ya mimba, kuzaliwa,kwenda shule hadi wakiwa wakubwa.
nahitaji your opinion wana jf
kwa nini unatatizwa na hao mapacha.........................kumbuka kuna mapacha wa aina nyingi sana...................including Siamese twins......quintuplet.......n.k.......wewe unawalenga wapi na kwa nini............
Tena akibisha hata mm ntakusaidia kumchangia mangumi,....iweje watoto waliozaliwa binadam kama yeye halaf yeye ahoji uhalali wao,....na huu ni unyama wa aina nyingine