Je, Mange Kimambi katuingiza mjini?

Je, Mange Kimambi katuingiza mjini?

Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa

Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.

Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
Hayo mambo ya wanajeshi tulishawaambia tangu awali kabisa wanajeshi wa Tanzania si watu wa kuwategema.

Wengi hamkutaka kusikia.

Mmetaka kudanganywa wenyewe uongo mlioupenda.

Na hii haina maana kuwa napinga jitihada za kuuondoa utawala dhalimu wa sasa.

Ila penye mipango ya ndoto zaidi ya uhalisia nitasema tu.
 
Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa

Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.

Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
Kawaingiza mjini kivipi?

Harakati zote za kuondoa tawala dhalimu huwa si kazi rahisi.

Kuhusu wanajeshi wa Tanzania, mimi kila mara huwa nawaambia hao watu hawana akili. Ni mazuzu tu.

Sijawahi kukutana na mwanajeshi wa Tanzania aliye na akili.

Wote ni vilaza.

Sasa kama mliwategemea watu ambao ni vilaza ili kutimiza malengo, basi hapo tatizo ni lenu.
 
Ana impact kubwa kuliko ya ng’ombe wote wa Mama. Hii nchi ingekuwa na kina Mange hata elfu moja tu, mtawala angekuwa na uzalendo mkubwa na heshima kwa watawaliwa!
Kweli nchi hii ina watu wapumbavu sana. Sasa baada ya kuchoka kupost nyuchi za wasanii Instagram, akawahamasisha muandamane 29/10, ni nini ame IMPACT?
 
Moja ya kitu niliamini Tanzania ina wajinga wengi ni pale walipoamini eti jeshi litawasaidia. Yaani jeshi la nkunda lisaidie wananchi, nkunda huyu huyu wa Kilosa au Nkunda mwingine?
Bora hata CDF angekuwa mtu wa Mara tungeweza kuwaza mengine
Hata kama wa Mara kulikuwa na haja kwanza afuatiliwe huo u-CDF aliupataje!
 
Nilitamani sana kwenda SabaSaba mwaka huu, nawaomba waandamanaji wasogeze mbele na wengine tufurahi
 
Kweli nchi hii ina watu wapumbavu sana. Sasa baada ya kuchoka kupost nyuchi za wasanii Instagram, akawahamasisha muandamane 29/10, ni nini ame IMPACT?
Tanzania ya kabla ya October 29 na Tanzania ya baada ya October 29 aren’t one and the same!
 
Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa

Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.

Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
acha obsession na Mange, kwani wewe huna akili ya kuchambua hali ya siasa ya nchi utegemee akili ya Mange?
 
huyu mpuuzi aliwaulisha watu wengi sana kwa kuwaaminisha kuwa walitakiwa wakianzishe tu Jeshi litatia nguvu
 
Back
Top Bottom