Je! Mamlaka zinamuogopa Prof. Mlacha,??

Huyu prof. Bwege mno ndiye mtunga mashairi ya chama cha mapinduzi.

Aliwahi nitukana ofisini kwake kumaa nami nikamrudishia hivyo kumaa mwenyewe alicheka mno..![emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli ana tabia hiyo.akikutukana we mrudishie tuu.mm nina bifu naye hadi leo.
 
Hivi mlacha bado yupo? Aiseee aliwahi kutuambia wanafunzi wa udom tumemzidi urefu tu? Na hakuna kingine tulichomzidi yaani nilichoka sana
 
Prof Mlacha ni hatari sana

Aliwai waambia wafanyakaz wa udom kua hakuomba kaz UDOM bali aliteuliwa na Rais(j.k)

Akawaambia "TAFUTENI BARUA YANGU YAKUOMBA KAZI KWENYE MAFAILI YENU KAMA MTAIPATA"

Huyu mzee anakauli matata sana

Alikua na undugu na fatherhouse mstaafu wa wa nchi wa awamu iliyopita
 
Aliwaambia wafanyakazi wake wa Alikachenje kuwa wako pale kwasababu ya njaa njaa zao .... Anawasaidia tu.
 
Hivi mlacha bado yupo? Aiseee aliwahi kutuambia wanafunzi wa udom tumemzidi urefu tu? Na hakuna kingine tulichomzidi yaani nilichoka sana
Udom ameshatumbuliwa ........ Sasa hivi Makanya anaishi kwa kujificha. ..

#1. Mwidadi anamdai 56M ... Alimkopesha vifaa vya ujenzi.

#2. Nzota anamdai 64M alimkopesha vifaa vya ujenzi pamoja na kumletea vifusi.

#3. Bony anamdai 36M..alimkopesha tofali na simenti

#4. Senjalo na mafundi wenzake wanamdai 21M.... Wamejenga majengo tangu mwaka jana hawajalipwa. . Pamoja na kumwagia zege bara bara

#5. Kadio anamdai 12M... Alitengeneza madirisha na milango ya chuo

#6. Kuna waalim wamefungua kesi idara ya kazi Moshi... Wameshinda tar 10. 1. 2018... Wanamdai 32M
 
Mi nilifikiri ni mtu mwenye mihela.
Kumbe ni maskini kama wengine tu.

Profesa nzima unamiliki kashule ka kata badala ya viwander heavy duty
 
Mi nilifikiri ni mtu mwenye mihela.
Kumbe ni maskini kama wengine tu.

Profesa nzima unamiliki kashule ka kata badala ya viwander heavy duty
Huyu Prof alipiga hela sana akiwa Udom ... Ila nafikiri ana laaana ..

Kwasasa shule ina wanafunzi 12 kuanzia kidato cha kwanza hadi cha 4.

Ana chuo kina wanafunzi 8
 
Hiyo ya kupekeka michango mfuko wa jamii bora asipekeke maana haina manufaa kwa mfanyakazi
 
Aende mahakama hiyo iliyotoa hukumu amwambie hakimu hamzidi kitu labda kimo na umasikini wake.

Kila mbabe duniani lazima awe na ending point yake

elewa kwanza
 
Aende mahakama hiyo iliyotoa hukumu amwambie hakimu hamzidi kitu labda kimo na umasikini wake.

Kila mbabe duniani lazima awe na ending point yake

elewa kwanza
Huyu Mzee akifika Makanya anaishi kwa kujificha ficha.

Mwaka jana alipelekwa hati ya wito Mahakama ya kazi akagoma kusaini ..... Jamaa wakamtafutia mgambo... Akasaini chini ya mgambo.
 
Wahindi wameyafanya haya miaka nenda rudi na mnajua sana,
Wachina ndio msiseme.
Leo Prof Mtata amewekeza kwenye elimu lakini bado hamjaridhika.
Mlitaka pesa akaiweke huko new jersey?
(Tusi la da Mange kwenye mabano)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…