Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,946
- 38,657
Nashukuru kwa more explanatory kwenye hii hoja nzuri sanandugu yangu usijisumbue kutafakari km ujui haya yalianzia wap !? na mpka nimefungua uzi ndio uje nimetafakar sikupata majibu
YESU katika biblia tunaambiwa alipoitwa na mama yake kipindi anahubiri meno alisema km ifuatavyo mama na ndugu zangu ni wale wanaolifuata neno la MUNGU
TWENDE CHINI kwanza nikueleze kuna siku nilijitia mjuqji kumsifia mama hoja ilikuwa hv je ni nan anafanya kazi sana ili mtoto azaliwe mm kujiamin nikasema mama jamaa mmoja akaniambia hapa tunazungumzia instrinsic things ma si swala la maumbile nikawa nazozana na uyo jamaa ndio jamaa akawaita wafada fulan akawaambia kuwa uyu anabishana na mm sababu mm na yeye wote ni wanaume mjibuni nyinyi wakaniambia maswala ya sijui umekaa tumboni miezi sita ni swala la maumbile hapa tunabishana mambo ya kisayansi kuna kitu kipo ndan ya mwanaume hicho mdicho kimachobeba whole process ya mimba kutungwa adi mtoto kuzaliwa na mwanaume ndio ana X AND Y mwanamke yy ana X tu
Lakini nasikitika kwa kunizuia nisifikiri zaidi kwa namna yangu ili kupata jibh.
Sidhani kama nashawishika na majibu yako. Ninawaza kupata jibu bado
