Je! Malaya ni mtu yupi?

Je! Malaya ni mtu yupi?

Ahsante, Kwahiyo Yule Anakuwa Na Mpenzi Mmoja Wanakaa Mwaka Mmoja Miwilg Wanaachana Kwa Sababu Mbalimbali Anatafuta Mwingine Myezi 5, 6 Wanatibuana Anatafuta Mwingine Huyu Sio Malaya Sio?

Huo sio umalaya! Hamkuelewana. Ila chunga sana kuna mdudu!
 
Kwa mwanaume malaya........ataitwa malaya iwapo kawagonganisha wanawake,na mwitaji hapa sharti awe mwanamke.mwanaume mwenzake atamwita kiwembe,rijali.k.
kwa mwanamke malaya.........ataitwa malaya iwapo kagonganisha wanaume,anayeita hapa sharti awe ni mwanaume si mwanamke.
 
MALAYA ni neno linalotumika kumaanisha mwanaume/mwanamke ambaye anajihusisha na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume / mwanamke zaidi ya m'moja kwa wakati m'moja.....ili kukidhi tamaa za kingono na matamanio ya tamaa za akili..........ila si kwa malengo ya kujipatia kipato au kujenga familia.
 
katusyo

Malaya ni yule anayegegedana mara nyingi na watu tofauti tofauti...
Kwa mfano, kama una wanawake/wanaume wawili, kila mmoja kagegedana mara kumi, lakini mmoja na wanaume/wanawake kumi tofauti na mwingine na mwanamke/mwanaume mmoja... Huyu wa wengi ndiye malaya... Haijalishi wengine mnajuwa au hamjui au mnahisi....
 
Last edited by a moderator:
Acheni hizo, hakuna mwanaume Malaya, kumbuka wanawake ni wengi kuliko wanaume na wote wanatakiwa wapewe hiyo huduma na wanaume
 
Originality ya neno malaya..
Mal' + laya
yaani wale waliojuiza kwa wanaume wenye uwezo wa kuspend kwene MALLS ulaya' ndo tunapata malaya'

same applies to electricity
elec + tri +city
Maana ake ni electrons zinazotravel towards the "city" kupitia trees.
* mtaani dictionary*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom