Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 278
Malaya ni mtu yeyote anayekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtu zaidi ya mmoja.
Malaya hana uhusiano wa kimapenzi. Kawaida anatumia mwili wake kutafuta pesa. Yaani malaya ni anayebadilisha pesa kwa ngono. Iwe mwanaume au mwanamke.