Binafsi nimewaza kwa upeo wangu nimeshindwa kupata ufumbuzi kutoka na maneno ya vijana mitaani, unakuta mtu alikuwa anamtongoza kesho anamkuta jamaa mwingine anamtongoza utasikia aa nimeshtuka yule msichana malaya sana.
Naombeni ufafanuzi wandugu;
Je, Malaya ni yule anaekubali kutongozwatongowa?
Je, ni yule aliebanduliwa na mwanaume zaidi ya mmoja?
Au kuna idadi anayotakiwa kufikisha kubanduliwa ndio aitwe malaya?
Na kwasababu lile tendo ni la siri je?
Utajuaje kabanduliwa na wanaume wangapi mpaka umwite malaya?
Msaada tafadhali namimi nisije nikamwita mtu malaya kuna ni makosa nikafungwa bure.