jana nimeangalia Taarifa ya habari ya jioni Saa 2 TBC ikatoa habari ya kikao cha CCM huko musoma juu ya kipi kimesababisha Musoma karibia majimbo yote kushikiliwa na Chadema na hapo ndipo niliposhangaa kumwona Makongoro nyerere kujigamba kuwa Familia ya Baba wa Taifa haungi mkono CHADEMA kama ilivyotaarifiwa katika maandamano ya CHADEMA yaliyo fana huko Musoma na kupewa baraka na msemaji (mtoto wa 3) wa Baba wa Taifa kuwa upinzani umekuwa kwa kazi na familia ya baba wa Taifa inaunga mkono Chama chochote cha upinzani kinachotoa chachu katika taifa kama "Chadema"
Sasa swali langu linakuja kwa Wana JF
1.)je mnafahamu Makongoro nyerere alikuwa wapi siku ya maudhurio ya Butiama pindi CDM kilipodhuru Butiama kusalimia Familia na Kudhuru katika kaburi la Hayati Baba wa Taifa?
2.) nakwanini amesubiri mpaka kikao cha CCM ndoaanze kutoa kauli zake au amelazimishwa kufanya hivyo?
3.)nani kamwambia Baba wa Taifa alikuwa wa CCM peke yake?
4.)kwanini Familia isimchague yeye kama msemaji wa familia na kuanza kupaka Familia yake matope kwa kujikomba na CCM?
5.)je analinda maslai ganiiii au niwoga tu?