mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,208
- 1,109
Sioni mantiki katika hoja yako hii.Kama ni hivyo unaweza ukamwita Lema naye ni Shujaa.
Kwa wanaokujua na kufatilia hoja zako lazima wajue kwa nini unachukia Jeshi la Polisi.
Nnaomba Alama Mohamed Said akupe kipande kidogo cha historia ya majimaji.Unatoa tabasamu kwa mswahili mvivu asiyependa kufanya kazi? Wewe unafahamu chanzo cha vita ya majimaji?mjerumali aliwaletea wamatumbi mbegu za pamba walime ili wapate nguo.wakakataa kwamba kulima shambani ni utwana.
Polisi ni wanadamu wa kawaida,
ni watoto wetu,baba zetu,wake zetu,waume zetu,wajukuu zetu,wakwe zetu..
tumewalea,somesha,wakuza..tunaishi nao,tushiriki nao ktk mambo ya kijamii..
wanastahili heshima,utu,haki,usawa...tuwapende,tuwajali,tuwakosoe,tuwaelimishe,tuwashirikishe,tuwasaidie...
Kuna tafiti zozote zilizoonyesha Azimio la Arusha ndo chanzo cha polisi kubadilika kiutendaji?Afrika kwa ujumla na hususan Tanzania (baada ya Uhuru) Polisi wamekuwa ni watu wa kuogopewa na jamii kama vile nyoka.
Nnakumbuka miaka ya mwanzoni mwa nchi yetu kupata Uhuru Polisi walikuwa ni watu wanaopendwa na jamii, enzi hizo ilikuwa utawakuta polisi wa Kizungu, Kihindi, Kiarabu na Kiafrika.
Kama watoto, kila mmoja wetu alikuwa anatamani siku moja awe askari Polisi. Kilichotupelekea kuwa hivyo ni jinsi enzi hizo polisi walivyokuwa na upole kwa watoto, nnakumbuka wakija mashuleni kutupa mafunzo ya kila aina na kutueleza vipi tuwe raia wema wenye kusaidia wengine. Nnakumbuka pia polisi wakituvusha barabara kwa upole na ingawa magari yalikuwa si mengi.
Nnachokikumbuka zaidi kwa polisi wa siku hizo ni tabasamu zao, awe wa kiume au wa kike (wa kike walikuwa wachache sana), ilikuwa siku zote nikiwaona polisi amma njiani amma wakija mashuleni walikuwa na tabasamu lisilokwisha na wenye nyuso za furaha kiasi cha kukufanya uliye karibu nao uwe na amani.
Hayo yaliisha mara tu baada ya kutangazwa azimio la Arusha.
Baada ya hapo mpaka hii leo, Polisi wamekuwa ni watu wasiocheka na watu, polisi imekuwa ndiyo tishio kwa watoto, mtoto wako akikosa ukimtajia polisi basi anaingiwa na uoga.
Jee, tumejiuliza kwanini? Mimi nna-majibu mengi sana kuhusu hilo lakini nnawaachia wachangia mada nanyi mjinafasi na kutoa dukuduku lenu kwa mtazamo wenu.
Paul Makonda, ameweza kuwasema polisi hadharani, tena kinaga ubaga. Mwiko ambao hata wakubwa zaidi ya Makonda kwenye uongozi wameshindwa kuuvunja kwa hapa kwetu Tanzania na nchi nyingi za Kiafrika kwa ujumla. Jee, kwanini?
Binafsi nnaona kitendo cha Makonda ni cha kishujaa sana. Wewe jee?
Nnaomba tuchangie hii mada huku tukielekeza maoni yetu kwa viongozi wa nchi pamoja na viongozi wa majeshi ya polisi kwa nia ya kuitaka polisi iwe rafiki zaidi wa wananchi na iwe ni kwa ajili ya wananchi na si kwa ajili ya viongozi wa nchi au watawala wa nchi pekee.
Mtawasema wote hapo break hata mwenye nyumba mwenyewe haweziNi kitendo cha kishujaa sana. Jwtz nao wako kikaangoni, askari wake wengi wanajifanya wababe kwa raia na barabarani, ukiwahoji wanaweza kukuchangia kukupiga, wanajenga ukuta na raia! Nidhamu ya uoga dhidi yao ma wananchi ndo kilichopo katikati!
Lema ni shujaa wa kuota.
Kwa mwenye ufinyu tu wa akili ndiyo atatia maneno "chukia", "penda" na upuuzi kama huo.
Hapa kuna "positive criticism" kwa wenye uelewa.
Natamani kuliona jeshi la polisi la mfano wa kuigwa.
Leo chadema mnalisifu jeshi la polisi? Ajabu kubwa sana, si nyie ndiyo wa kwanza kuliponda na kulipa majina yasiyo stahiki, mmesahau?
Nami nikakujibu;Hapa hatuongeleai wala hatuchambui kama kuna ukweli au uongo kwa aliyosema Makonda, hapa tunaongelea ile kuweza kutamka tu aliyoyatamka, kwangu mimi ni ushujaa tosha.
Sioni mantiki katika hoja yako hii.Kama ni hivyo unaweza ukamwita Lema naye ni Shujaa.
Kwa wanaokujua na kufatilia hoja zako lazima wajue kwa nini unachukia Jeshi la Polisi.
Kama hujalewa basi unaandika kama mlevi na unachokisoma hukielewi.Nani kakwambia mimi chadema?Kuna mtu anaingia JF na Kadi?
angalia ulichoandika.
Nami nikakujibu;
Naona umevimbiwa amani na utulivu sasa umeanza kutukana Jeshi.
Kama hujalewa basi unaandika kama mlevi na unachokisoma hukielewi.
Hilo tusi liko wapi?
Punguani wahed.
Mhhh, GoodnightTime factor.
Yeye kawa muovu kuliko hao polisiAfrika kwa ujumla na hususan Tanzania (baada ya Uhuru) Polisi wamekuwa ni watu wa kuogopewa na jamii kama vile nyoka.
Nnakumbuka miaka ya mwanzoni mwa nchi yetu kupata Uhuru Polisi walikuwa ni watu wanaopendwa na jamii, enzi hizo ilikuwa utawakuta polisi wa Kizungu, Kihindi, Kiarabu na Kiafrika.
Kama watoto, kila mmoja wetu alikuwa anatamani siku moja awe askari Polisi. Kilichotupelekea kuwa hivyo ni jinsi enzi hizo polisi walivyokuwa na upole kwa watoto, nnakumbuka wakija mashuleni kutupa mafunzo ya kila aina na kutueleza vipi tuwe raia wema wenye kusaidia wengine. Nnakumbuka pia polisi wakituvusha barabara kwa upole na ingawa magari yalikuwa si mengi.
Nnachokikumbuka zaidi kwa polisi wa siku hizo ni tabasamu zao, awe wa kiume au wa kike (wa kike walikuwa wachache sana), ilikuwa siku zote nikiwaona polisi amma njiani amma wakija mashuleni walikuwa na tabasamu lisilokwisha na wenye nyuso za furaha kiasi cha kukufanya uliye karibu nao uwe na amani.
Hayo yaliisha mara tu baada ya kutangazwa azimio la Arusha.
Baada ya hapo mpaka hii leo, Polisi wamekuwa ni watu wasiocheka na watu, polisi imekuwa ndiyo tishio kwa watoto, mtoto wako akikosa ukimtajia polisi basi anaingiwa na uoga.
Jee, tumejiuliza kwanini? Mimi nna-majibu mengi sana kuhusu hilo lakini nnawaachia wachangia mada nanyi mjinafasi na kutoa dukuduku lenu kwa mtazamo wenu.
Paul Makonda, ameweza kuwasema polisi hadharani, tena kinaga ubaga. Mwiko ambao hata wakubwa zaidi ya Makonda kwenye uongozi wameshindwa kuuvunja kwa hapa kwetu Tanzania na nchi nyingi za Kiafrika kwa ujumla. Jee, kwanini?
Binafsi nnaona kitendo cha Makonda ni cha kishujaa sana. Wewe jee?
Nnaomba tuchangie hii mada huku tukielekeza maoni yetu kwa viongozi wa nchi pamoja na viongozi wa majeshi ya polisi kwa nia ya kuitaka polisi iwe rafiki zaidi wa wananchi na iwe ni kwa ajili ya wananchi na si kwa ajili ya viongozi wa nchi au watawala wa nchi pekee.
Faizafoxy siku hizi anapatikana Jukwaa la mawaidha. Huku kasepa jumla sijui kwanini?
Nyie wenyewe ndo mmewafundisha hayo leo utuambia je hayo,iko siku yenu ya kugeukwa,ole wenu siku mkosee mtapata taabu sana.Afrika kwa ujumla na hususan Tanzania (baada ya Uhuru) Polisi wamekuwa ni watu wa kuogopewa na jamii kama vile nyoka.