Sasa wewe nawe sijui wa wapi? Hao wapinzani si ndio wanasema rais ni dikteta alafu hili tukio la makonda mmelikemea kana kwamba huyo Siro hawezi kupoke rushwa!CCM ndio chanzo cha yote hayo,wacha wafu wazikane.Kila siku wapinzani wanapiga kelele juu ya reform ya jeshi la polisi mnawaona wapuuzi.Leo Makonda kazungumza kidogo mnakimbilia Jf kumuita shujaa,shame.Hv mmerogwaa au?Hao polisi wameanza pigiwa kelele toka lini?Si ndio mkawapa kiburi cha "kupiga tu"?toeni upuuzi,mnatukumbusha machungu
Lema ana ushujaa gani? Wa "kuota" wakati hajalala??
Ni kama hivyo Makonda kuweza kuwa muwazi na kuuliza alichouliza, kinaga ubaga. Kumuuliza kamanda wa polisi swali hilo ni ushujaa mkubwa sana, nnakushauri kaisome tena post namba maoja.
Shujaa anaeweza kusimama katikati ya dimbwi la wadhalimu na kusema hapana sasa tosha na kutete haki za wanyonge. Lema ataingia kwenye vitabu vya historia kama mbunge jasiri na hasie ba uoga kwa kusema kile anacho amini ni ukweli.Lema ana ushujaa gani? Wa "kuota" wakati hajalala??
Mbowe &co wana uwezo gani wa kupangua anachopanga JPM? Kama ni kweli basi JPM yuko chini yao.Tatizo JPM akijaribu kupanga mbowe and co., wanapangua!
kwahiyo unachojaribu kusema ni kuwa sasa mmoja wa watawala has come to his senses,kumbe mpaka wapigiwe kelele hivi ndio wasikie.Bado mkubwa wake naye,atasikia tu.Wapinzani tunawasikia kelele zao lakini hapa mada si upinzani. Mada ni Mkuu wa Mkoa wa Serikali inayotawala.
Siku mpinzani akiacha kupinga itabidi tubaki na chama kimoja tu.
unachangia utafikiri uko kwenye taarabu!Tumelikemea mimi na nani?Unaweza weka ushahidi hapa wa kiongozi yeyote aliyesema kwa niaba ya upinzani kuwa wamelikemea?sio lazima uchangie,jipe muda uwe unasoma michango ya wenzako tu,ukiiva ndio nawe utie pua humuSasa wewe nawe sijui wa wapi? Hao wapinzani si ndio wanasema rais ni dikteta alafu hili tukio la makonda mmelikemea kana kwamba huyo Siro hawezi kupoke rushwa!
Ghafla nimejikuta nakumbuka tukio la kukamatwa kwa aliekua Boss wa jeshi bwana Laurent Masha.Ajira ya Paul Makonda kwa sasa inamlinda... Polisi wanamuangalia tu...
Jeshi la polisi linadumu...
Ajira ya Makonda itakapoisha ndio tutajua kama Makonda kavunja mwiko au polisi wanasubiri muda ufike...
Ajira yake iishe afu aseme hadharani namna ileile kuwa Sirro kapewa Rushwa... hapo ndio tutalijua jeshi la polisi lina uvumilivu.
Tatizo lako una kimuhemuhe sijui unakimbizwa?unachangia utafikiri uko kwenye taarabu!Tumelikemea mimi na nani?Unaweza weka ushahidi hapa wa kiongozi yeyote aliyesema kwa niaba ya upinzani kuwa wamelikemea?sio lazima uchangie,jipe muda uwe unasoma michango ya wenzako tu,ukiiva ndio nawe utie pua humu
Mkuu mbona hizo ni tuhuma tu? Kuna ushahidi wowote mpaka sasa kwamba Siro kapokea rushwa?Tatizo lako una kimuhemuhe sijui unakimbizwa?
Chadema wote hapa wanaona Makonda anatafuta sifa, sasa wewe utaniambia nini?
Huyo Siro ni nani asipokee rushwa? Wewe mgeni nchi hii?
Hivi CHADEMA ni nani?kwahiyo nami kwa uchangiaji wangu umeshaniita CDM?Jukwaa hili kuna kipengele cha kuweka status yako kichama?Unamjuaje mtu kama ni CDM?Amekupa kadi yake ya uanachama?Unajadili kitoto sana,toa hoja sio kupiga mipasho tu.Hii ni JF sio facebookTatizo lako una kimuhemuhe sijui unakimbizwa?
Chadema wote hapa wanaona Makonda anatafuta sifa, sasa wewe utaniambia nini?
Huyo Siro ni nani asipokee rushwa? Wewe mgeni nchi hii?