Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,035
yeah..Kazi na salaHahahaaaaa! Prayer tena wakati unasaliti!! Leo naona unanitumia miziki tu
yeah..Kazi na salaHahahaaaaa! Prayer tena wakati unasaliti!! Leo naona unanitumia miziki tu
Ngoja tumalize hizi harakati za kumtoa mkoloni mweusi kwanza....
Ngoja tumalize hizi harakati za kumtoa mkoloni mweusi kwanza....
Kama ukitafsiri mapnz ni kugegedana,distance love lazima iwe tatizo..Zaidi ya hapo sioni tatizo
Umesema 'mchumba' hvyo naamini mna mipango mingi tu ya baadae. wewe nenda tu na life kama linavyoenda usifanye maamuzi ya kumwaga chini pia usimwamini 100% pia usifunge milango kwa marafiki wengine wa kike eti unamchumba wako yupo china