Disposal
JF-Expert Member
- Oct 22, 2013
- 285
- 78
Jamani kuna jamaa yangu anaomba ushauri, yeye yupo mwaka wa tatu chuo kikuu cha Dar na mchumba wake kamaliza sasa kapata Scholarship ya kwenda kusoma China sasa je aendelee kumsubiri ama apige chini?
Mana anahisi hatafika naye mbali alafu binti ni mlokole, wana MMU naombeni kumsaidia kwa hili wale wenye gaiety na haya makitu.
Natanguliza shukrani.
Mana anahisi hatafika naye mbali alafu binti ni mlokole, wana MMU naombeni kumsaidia kwa hili wale wenye gaiety na haya makitu.
Natanguliza shukrani.