Je, Magufuli atafikisha hata asilimia 45% kwenye uchaguzi wa 2020?

Uzuri ni kwamba kura zitakazoamua JPM Kuwa madarakani ni ile kanda kubwa kuliko zote hapa ni mwendo mdundo wengine msubiri
 
Wakuu nimeamua kuwauliza swali kama mkuu wetu wa nchi kama atafikisha hata asilimia 45% katika uchaguzi wa mwaka 2020.

Kwasababu nikianza kuangalia pande zote za nchi kuna vilio tupu. Wafanyakazi wanalia, Bukoba wanalia kwa kudhulimiwa hela za maafa, wabuge wanalia bila shaka mlijionea wenyewe juzi JK alipotua bugeni, wananchi wanakufa kwa njaa serikali haina shamba, wafanyabiashara wanalia, bashite kulelewa.

Hayo ni baadhi ya mambo machache ambayo mimi binafsi nitaendelea kutoichagua CCM maishani mwangu. CCM lazima tuipige chini 2020
Utabiri wangu ni huu:
1. CCM - 45%
2. CDM - 15%
3. CUF - 10%
4. ACT - 8%
5. NCCR - 5%
6. TLP - 2%
7 Kura za kuharibika - 15%

Uchaguzi wa Marudio:
1. CCM - 70%
2. CDM - 30%
3. Zilizoharibika - Nil
Huu ni utabiri, sio ramli.
Inawezekana hata wewe ukabadili mawazo na kufanya matokeo ya utabiri wangu kubadilika kwani haya ni mambo ya kupita. Tusubiri!
 
Mkuu jibu basi hizo hoja!! eti za kitoto haya niambie hizo za kiutu uzima basi hapa maana unakalia IMF huku hutoi specifc data tuzichambue hapa nikuonyeshe mlivyo waongo!!!
Haya bas at least nijibu hya maraisi

1.je ni sawa kujenga airport chato mji ambao hauna kivutio chochote cha utalii au movement ya biashara huku kilometer 10 tu kutokan airport hakuna maji wala choo??

2. Viwanda vitaanza kunjengwa lini kma mlivyoahidi kwenye kampeni??

embu tuanzie hapo kabla sijakuuliza kuhusu kwanno mnaweka bajeti kubwa mwisho wa siku utekelezaji wake ni chini ya 40%
Hebu mimi ambaye ni motto nikujibu kwamba:
1. Mbuyu huanza kama mche lakini baadaye huwa limti likubwa (sijui kama hiki ni Kiswahili sanifu). Chato, kijiografia, kiuchumi na kiusalama inafaa kuwa na uwanja, tena mkubwa, ili kuhudumia mikoa ya jirani pamoja na nchi za jirani;
2. Usisumbuke, viwanda vitaanza kujengwa kesho. Wawekezaji tayari wako njiani na wengine wameishafika (au ulitaka serikali ndiyo ivijenge?)
Jitafakari!
 
Kura zake ziko katika kinywa cha mwenyekiti wa tume ya uchaguzi! Haziko kwenye sanduku la kura! NA tangazo la Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi haliwezi kupingwa mahakamani! Sheria hairuhusu kupinga mahakamani! Goli la mkono linalodaiwa na Nape lipo hapo!!!!
Wakati mwingine tuongee kwa uhalisia na ukweli wa mambo!
Tume ya uchaguzi inatoa matokeo kutoka wapi? Mawakala wenu huwa wako wapi? Kama kuna mashaka, kwa nini mawakala wenu huweka saini kuthibitisha kwamba matokeo ni sahihi?
Hata kwa akili za kienyeji, idadi ya wabunge wa majimbo yote (CCM na upinzani), yanaakisi uhalisia wa uchaguzi wa raisi na wala sio goli la mkono.
Jitafakari!
 
Rais Magufuli anaauwezekano mkubwa katika uchaguzi mkuu wa 2020 akapata kati ya asilimia 70 na 80. Wakati wa uchaguzi wa mwaka 2015 kiu kikubwa cha watanzania ilikuwa ni mabadiliko na Rais Magufuli bila kujali kupoteza umaarufu wa chama chake ameamua kuleta mabadiliko ya kweli ndani ya serikali na ndani ya chama tawala. Kiongozi yeyote ambaye analeta mabadiliko huwa umaarufu wake hushuka sana lakini baada ya muda fulani umaarufu wake hupanda kwa kasi. Tuangalie jinsi ya utendaji wa Rais Magufuli :
1. Vita dhidi ya ufisadi ameonyesha dhamira ya kweli ufisadi umepungua kwa asilimia kubwa.
2. Vita dhidi ya ujangili imefanikiwa kwa kiasi kikubwa na hii itafanya sekta utalii kukua sana.
3. Vita dhidi ya madawa ya kulevya imefanikiwa sana na Tanzania imesifiwa sana kwa vita hivi.
4. Vita dhidi ya uvuvi haramu imefanikiwa sana tutegemee samaki kuongezeka kwa kiasi kikubwa.
5. Matumizi mabovu ya serikali yamedhibitiwa.
6. Ukwepaji wa kodi na misamaha ya kodi yamepungua sana.
Pamoja na deni la taifa kukua nina uhakika baada ya serikali ya awamu ya tano ikiweka mambo yake sawa wataweza kulipa deni hilo kwa haraka kwani ilikuwa ni lazima kwa serikali kuchukua mikopo baada ya serikali ya awamu ya nne kuiacha nchi katika hali mbaya ya kiuchumi. Kwa muda wa miaka miwili serikali imeonyesha inaweza kufanya maendeleo makubwa mfano:
1. Kufufuliwa kwa shirika la ndege la Tanzania
2. Ujenzi wa reli wa Dar - Morogoro
3. Kufufua sekta ya afya kwa kugawa vifaa kwenye hospital zote nchini
4. Ujenzi wa hospital ya rufaa Mara
5. Ujenzi wa hosteli ya wanafunzi wa chuo kikuu Dar uliochukua gharama ndogo na muda mfupi.
Hapo ni nimeorodhesha baadhi ya jitihada ya serikali ya awamu ya tano, je miaka mitatu mingine tutatarajia mengi zaidi. Pamoja na makusanyo ya kodi kushuka uwiano huo utaenda na matumizi mazuri wa serikali.
Ndugu zangu Watanzania bila kujali Itikadi ya chama lazima tuangalie nia madhubuti ya serikali ya awamu ya tano. Wafadhili wameona nia dhabiti ya serikali hii ndio maana kwasasa wameamua kutoa mikopo na misaada kwa Tanzania.
In conclusion President Magufuli ia a great asset to Tanzania.
Anajua bwana. Asijitie uchizi!
 
Hebu mimi ambaye ni motto nikujibu kwamba:
1. Mbuyu huanza kama mche lakini baadaye huwa limti likubwa (sijui kama hiki ni Kiswahili sanifu). Chato, kijiografia, kiuchumi na kiusalama inafaa kuwa na uwanja, tena mkubwa, ili kuhudumia mikoa ya jirani pamoja na nchi za jirani;
2. Usisumbuke, viwanda vitaanza kujengwa kesho. Wawekezaji tayari wako njiani na wengine wameishafika (au ulitaka serikali ndiyo ivijenge?)
Jitafakari!
Hahhahahhahahahh serikali haivijengi eeh ssa ile kuwahadaa wananchi mkiwa kahama kuwa mtajenga viwanda nchi nzima ikiwemo na kuvifufua vile vya enzi za mwalimu imekuwaje leo hii tena???? :D:D:D:D

Ndo nakuuliza kuna shida gani kma hii airport ya chato ndio ingetumika kujenga airport yenye hadhi pale mtwara ambayo ingeendana na projected mega investments zitakazokuwa erected kule????

Tukisema serikali hamna vipaumbele mnatuita wauza unga!! Shame shame shame airport kijijini
 
Anajua bwana. Asijitie uchizi!
Hivi mnajua maana ya uchaguzi??? Whether mtu atafanya maendeleo au hajafanya how sure can we be kuwa vyama mbadala haviwezi kufanya??? Kma tukiendekeza eti mtu kujenga reli ambayo mipango ilikuwepo toka awamu ya Mr Dhaifu ndio tumchague huyo hyo ni akili ndogo sana.

Sera ndio zituongoze ila kuanza kujificha kwenye reli wakati picha kubwa ya uchumi inaonyesha nchi ipo ICU ni kuprove jinsi gani tanzania ni among countries zenye lowest IQ.
 
Wakati mwingine tuongee kwa uhalisia na ukweli wa mambo!
Tume ya uchaguzi inatoa matokeo kutoka wapi? Mawakala wenu huwa wako wapi? Kama kuna mashaka, kwa nini mawakala wenu huweka saini kuthibitisha kwamba matokeo ni sahihi?
Hata kwa akili za kienyeji, idadi ya wabunge wa majimbo yote (CCM na upinzani), yanaakisi uhalisia wa uchaguzi wa raisi na wala sio goli la mkono.
Jitafakari!
Aseee clinton ana wabunge wangapi??? Ila ilikuwaje kamzidi trump kura za urais???

Anyway wwe upo chama tawala ndio maana unajibu hivi hta lembeli alikuwa anajibu hivi ila yalipomkuta kahama na yye kushangaa inakuwaje unaongoza kwa kura kibao ila bado mshindi anatokea ccm ndio alitia akili hadi akaanza kulia mahakamani!!!

Upinzani ni vita ndugu yangu unaweza ukawa na hizo fomu zenye sign kabisa kma kafulila na wenje ila mbona bungeni hawajaingia???? Fomu za mawakala zilisaidia nni??? CCM ni zaidi ya uijuavyo utanielewa cku ukihama ccm na wwe ukatishiwa bastola kma nape
 
Utabiri wangu ni huu:
1. CCM - 45%
2. CDM - 15%
3. CUF - 10%
4. ACT - 8%
5. NCCR - 5%
6. TLP - 2%
7 Kura za kuharibika - 15%

Uchaguzi wa Marudio:
1. CCM - 70%
2. CDM - 30%
3. Zilizoharibika - Nil
Huu ni utabiri, sio ramli.
Inawezekana hata wewe ukabadili mawazo na kufanya matokeo ya utabiri wangu kubadilika kwani haya ni mambo ya kupita. Tusubiri!
Khaaaa mkuu kura kuharibika 15% :D:D:D:D
Kweli ccm mmepania kutumaliza wapinzani TZ
 
Labda atumie nguvu sana kupata hiyo asilimia ya kura,na itategemea na nguvu ya upinzani.ila kwa upande wangu jamaa kupata awamu ya pili itakuwa ngumu sana
 
Zaidi ya kura ya Bashite, hawezi kupata kura nyingine....hata yeye hatajipigia maana anajua alivyochemsha
 
Embu wapinzani tuache kujitia moyo bila TUME HURU hatuwezi kushinda hta majimbo 10 hyo 2020..... kma hatudai tume huru na kwa jinsi utawala huu ulivyo hyo 2020 tutaambulia 10% so the choice is ours
ndoto za mitume wa Mungu aliyehai zitatimia nchi itakuwa salama kwenye mikono salama. Tuendelea kumuombea azidi kujua dhamani ya democrasia.
Embu wapinzani tuache kujitia moyo bila TUME HURU hatuwezi kushinda hta majimbo 10 hyo 2020..... kma hatudai tume huru na kwa jinsi utawala huu ulivyo hyo 2020 tutaambulia 10% so the choice is ours
 
eti kayakuta mauza uza sasa sera ya elimu bure na madudu yake ililetwa na kikwete?? kusema tununue madawati huku walimu hamna wala vitabu wala maabara ililetwa na kikwete pia??? mkuu kma huna hoja ni heri mkae kimya tu mnajidhalilisha sana kila mnapotaka kutetea kila kitu tena pasi hoja!!! nmewadharau sana wanaccm humu JF ur such empty tins eti "utaisoma namba" bullsh**t !!! mie nmesoma nje tokea o level ssa nasomaje namba kwenye elimu???
Mjirekebishe watetezi mnakera sana kila anayekosoa eti mpiga dili sijui atasoma namba sijui muuza unga!! aaaaarggghh
Walimu wengi sana mpaka kuna ziada. Ni walimu wa Sayansi na Hisabati ndio tunawaandaa.
 
nani kakwambia wanaingia ikulu kwa ushindi halali

hata wakitaka kura zote ziwe zao wanaweza
 
Acha kujichosha kijana.
2020 Kura za Urais za Magufuli zitaongezeka Sana. Wengi tunaelewa dhamira yake ya dhati ya kusaidia wananchi, hasa wa chini.
Nyinyi Endeleeni kulalama na kujifarji.
Subirini mpaka 2025, over.
amesaidia nini mpaka leo hii. Provide examples!
 
Back
Top Bottom