Je, Magufuli atafikisha hata asilimia 45% kwenye uchaguzi wa 2020?

Kwani kuna rais hapa tanzania aliwahi kugombea baaada ya kumalizika kwa kipindi cha miaka 10? Labda ungesema com na sio magufuli, 2020 watakao kuwa wagombea ni tofauti kabisa na waliowahi kuwa ma rais hapa tanzania
 
Siyo nikuelezee kila kitu, kwani macho hauna, masikio je? Mengi afanyayo rais wetu kipenzi yanaonekana machoni.
Mkuu ukinijibu haya ntahamasisha watu tumchague magu 2020!!! Embu nipe mchanganuo wa hali ilivyo kwenye maeneo hayo toka magu ashinde
1.mikopo ya elimu ya juu
2 thamani ya shilingi
3.mzunguko wa pesa
4. Kushuka kwa biashara na uwekezaji
5.Elimu kuporomoka (rejea matokeo ya form 4)
6. Viwanda??
7. Bajeti hewa??
8. Mahakama ya mafisadi imemfunga nani
9. Madawa ya kulevya nani kati ya wale mapapa waliotajwa kadhibitiwa??
10. Huduma za afya hasa vijijini average ya kituo cha afya kimoja ni baada ya kilometre 60 hapa tanzania je hapo vp
11. Umaskini (IMF inasena dollar 2 kwa siku tatu)
 
Acha kujichosha kijana.
2020 Kura za Urais za Magufuli zitaongezeka Sana. Wengi tunaelewa dhamira yake ya dhati ya kusaidia wananchi, hasa wa chini.
Nyinyi Endeleeni kulalama na kujifarji.
Subirini mpaka 2025, over.
Wewe umeongea bila kutafakari hapo,.. Bila kushabikia ni wazi kabisa ata akipita lakin kura lazma zitapungua na uchaguzi unaokuja utakua mgumu zaidi ya 2015.iyo kikutokana n'a kukua kwa upinzani nchini kila siku, ai unaosema wananchi wa hali ya nchini maisha yao ndo yamekua duni zaidi.. Kama mtu wa hali ya kawaida analia unategemea wa hali ya chini kucheka.......... Usijibu kishabiki unatakiwa kutafakari
 
Wakuu nimeamua kuwauliza swali kama mkuu wetu wa nchi kama atafikisha hata asilimia 45% katika uchaguzi wa mwaka 2020.

Kwasababu nikianza kuangalia pande zote za nchi kuna vilio tupu. Wafanyakazi wanalia, Bukoba wanalia kwa kudhulimiwa hela za maafa, wabuge wanalia bila shaka mlijionea wenyewe juzi JK alipotua bugeni, wananchi wanakufa kwa njaa serikali haina shamba, wafanyabiashara wanalia, bashite kulelewa.

Hayo ni baadhi ya mambo machache ambayo mimi binafsi nitaendelea kutoichagua CCM maishani mwangu. CCM lazima tuipige chini 2020

Kwani wabadhilifu wa mali ya umma na wauza ngada ni wengi kiasi cha kupunguza kura za jpm kwa kiasi hicho?
 
Itategemea mwaka mmoja kabla ya uchaguzi atawafanyia nini wa Tz.

Kumbukumbu za Watanzania walio wengi muda wa kutumika hauzidi mwaka mmoja!
Ni kweli mkuu c unaona walisau mabaya yote ya Lowasa yaliyokuwa yakisemwa na cdm kwa zaidi ya 8yrs na wakampa kura nyibgi tu.
 
Kwa upinzani upi wa kuweza kupunguza kura za Rais Magufuli?
Kama alichukua fomu mwenyewe,
Akarudisha fomu mwenyewe,
Akapendekezwa mwenyewe,
Na mwisho akachaguliwa mwenyewe.

Tusubiri tume ya uchaguzi imchague mwenyewe.
 
Tafadhali usituchefue. Wengine tumetoka kula. Hatutaki hata kulisikia hilo lidudu. Jitu gani halina hata chembe ya huruma wala shukurani? Yaani tunapanga mstari kuanzia asubuhi hadi jioni kumpigia kura halafu baada ya kupata anasema hakusaidiwa na mtu kupata hicho cheo! Ina maana kama tusingepiga kura angepataje hicho cheo?
Sidhani kama alikuhusisha wewe hata kidogo
 
Tafadhali usituchefue. Wengine tumetoka kula. Hatutaki hata kulisikia hilo lidudu. Jitu gani halina hata chembe ya huruma wala shukurani? Yaani tunapanga mstari kuanzia asubuhi hadi jioni kumpigia kura halafu baada ya kupata anasema hakusaidiwa na mtu kupata hicho cheo! Ina maana kama tusingepiga kura angepataje hicho cheo?
Urais ni wadhifa/ nafasi sio cheo, ulishawahi kumuona mtumishi wa umma amepanda cheo na kuwa rais? think like a man( /me'n/)
 
Mbona Zanzibar hawafikishagi kwa mara ya tatu lkn bado wapo madarakani????.......
YAANI HAPA WATZ NI KUJIPANGA KUTOKUBLI WIZI N UBABE WA CCM....
ccm iliishakataliwa tangua mhula wa pili wa kikwete ilitakiwa ccm waachie madaraka lkn hawataki wanatumia magoli ya mikono.....Kwa Zanzibar waliishakataliwa mapema sana ila wanatumia MABAVU, MIGUVU NA VITISHO KUTAWALA VISIWA VILE
 
Ushindi lazima ndo sera ya CCM sasa sioni cha kujadl funga mjadala tukafanye kaz waache na siasa zao
 
Kwani zile % mwaka 2015 alizipataje?basi atazipata vivyohivyo hata kama fundi wa lamkono hatakuwepo.Ccm oooonyeeeeeenyeeee kidumu chama cha Mapinduzi .Mapinduzi daimaaaaa
 
Mkuu ukinijibu haya ntahamasisha watu tumchague magu 2020!!! Embu nipe mchanganuo wa hali ilivyo kwenye maeneo hayo toka magu ashinde
1.mikopo ya elimu ya juu
2 thamani ya shilingi
3.mzunguko wa pesa
4. Kushuka kwa biashara na uwekezaji
5.Elimu kuporomoka (rejea matokeo ya form 4)
6. Viwanda??
7. Bajeti hewa??
8. Mahakama ya mafisadi imemfunga nani
9. Madawa ya kulevya nani kati ya wale mapapa waliotajwa kadhibitiwa??
10. Huduma za afya hasa vijijini average ya kituo cha afya kimoja ni baada ya kilometre 60 hapa tanzania je hapo vp
11. Umaskini (IMF inasena dollar 2 kwa siku tatu)

Hivi nikuulize, elimu kuporomoka....wakati wa JK ilikuwaje? Mauzauza ya elimu yalikuwa hovyo na huyu kaja kuyarithi na sasa ndiyo wanachanganua kuondoa hayo mauzauza ya kina Kikwete. Huyu rais karithi mizozo ya Kikwete hivyo usitegemee kila kitu kwenda sawa for the time being, inabidi nchi isafishwe then mtaoisoma namba. Hasira za nini lakini?
 
eti kayakuta mauza uza sasa sera ya elimu bure na madudu yake ililetwa na kikwete?? kusema tununue madawati huku walimu hamna wala vitabu wala maabara ililetwa na kikwete pia??? mkuu kma huna hoja ni heri mkae kimya tu mnajidhalilisha sana kila mnapotaka kutetea kila kitu tena pasi hoja!!! nmewadharau sana wanaccm humu JF ur such empty tins eti "utaisoma namba" bullsh**t !!! mie nmesoma nje tokea o level ssa nasomaje namba kwenye elimu???
Mjirekebishe watetezi mnakera sana kila anayekosoa eti mpiga dili sijui atasoma namba sijui muuza unga!! aaaaarggghh
 
Back
Top Bottom