Je, Magufuli atafikisha hata asilimia 45% kwenye uchaguzi wa 2020?

Kura yangu hataipata kabisa hata kama anijengee nyumba kama alivyokuwa anafanya Gaddafi kwa wananchi wake ukitaka kuoa
 
Walimu wengi sana mpaka kuna ziada. Ni walimu wa Sayansi na Hisabati ndio tunawaandaa.
Hvi unajua capacity gap ya walimu wa sayansi kwa Tanzania ni ngapi?? Mliambiwa kwa intake zenu hizo ingechukua miaka zaidi ya 15 kuziba gap la sasa ingawa kumbuka by the time 15 years zinamalizika mahitaji yatakuwa yameongezeka zaidi maana watoto wanaoandikishwa darasa la kwanza wanaongezeka kila mwaka by percentage ssa lini hilo tatizo litaisha......mkaanzisha program kusaidia kwenye disaster management ya ukosefu wa walimu magufuli akawaita vilaza na kuwatimua then mnakalia madawati madawati!!!!!
 
Atafikisha na pengine atavunja rekodi. Watanzania si wakuambiwa ndio watende. Sasa sisonje kaminya demokrasia yeye tu ndio anaongea wengine wamenyamazishwa unafikiri kwa manyumbu nini kitatokea.
Nyumbu ni mnyama Wa ajabu hanaga ushilikiano hata kidogo mwenzake anatafunwa yeye anashangaa tu.lakin siku 1 nilishangaa pale nyumbu alivyo mpiga simba kichwa wild Chanel kumuokoa ndama wake.This can happen 2020 Manyumbu yanaweza kubadilika kuokoa ndama wake vilio vimekuwa vingi sana
Tuwe na subila tuone kama kutakuwa na mabadiko lakin mambo yakiendelea kawaida kama ilivyo sasa kula hazitatosha ila wataongoza kwa mabavu make kiukweli hawawezi kuachia nchi kirahisi,lakini kwenye uchaguzi cha moto watakiona
 
Back
Top Bottom