natumia magic kwa miaka mitano sasa.
imesaidia kuondoa tatizo la vipele kwa asilimia 95.
Ni nzuri kwa kweli, ila ina masharti ya kwamba ukishanyolewa lazima uoshwe vizuri.
Pia lazima ipakwe na kinyozi mzoefu.
Hii inamaanisha ili utumie magic bila tatizo, ni lazima uende salon.
nimejaribu ku search internet juu ya madhara yake sijapata chochote cha kukatisha tamaa.
still, ni vyema kuwa na tahadhari ya kusafisha kidevu vizuri.
Nyembe na mashine katika karne hii ya ukimwi na magonjwa ya ngozi ni hatari sana!