Je, mafuta ya kondomu ni salama?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,550
1,422
Peleni wakubwa zangu kwa majukumu.

Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu sasa kuhusu usalama wa kiafya wa yale mafuta ya kondomu.

Watalam wanawaasa watu (wanawake) wasiingize kitu chochote katika uke wakati wa kujisafisha, mfano: Sabuni,mafuta nk.

Je, vipi kuhusu yale mafuta ya kondomu wakati wakujamiiana huingia katika uke hadi kwenye mlango wa uzazi vipi kuna usalama hapo au kuna shida?

Naomba kuwasilisha,ila kama kuna wadau wenye majibu sahihi waliyofanyia utafiti yakinifu basi wasisite kunisaidia
 
Peleni wakubwa zangu kwa majukumu.
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu sasa kuhusu usalama wa kiafya wa yale mafuta ya kondomu.

Watalam wanawaasa watu (wanawake) wasiingize kitu chochote katika uke wakati wa kujisafisha,mfano: Sabuni,mafuta nk.

Je vipi kuhusu yale mafuta ya kondomu wakati wakujamiiana huingia katika uke hadi kwenye mlango wa uzazi vipi kuna usalama hapo au kuna shida?

Naomba kuwasilisha,ila kama kuna wadau wenye majibu sahihi waliyofanyia utafiti yakinifu basi wasisite kunisaidia
We piga kavu kavu Mwakani tukutane CTC
 
Back
Top Bottom