Je, magic shaving powder ina madhara ya kiafya?

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
320
Wadau naomba kuuliza kuhusu hii magic shaving powder ambayo watu mbalimbali wanaitumia kunyoa ndevu iwapo ina madhara ya kiafya kama vile kuweza kupata ugonjwa wa kansa hapo baadaye?
 
wadau naomba kuuliza kuhusu hii magic shaving powder ambayo watu mbalimbali wanaitumia kunyoa ndevu iwapo ina madhara ya kiafya kama vile kuweza kupata ugonjwa wa kansa hapo baadaye?
 
I dont know how old r u, but dont use that, if something is made specially for black people dont ever use it!
 
Here are some of the drawbacks: 1 you turn grey before ur age 2 u loose ur usual functioning power i mean sexual e.t.c
 
wats this fuss about,..the only outspoken effect of some drugs or items is ''effect of impotence''
therez no drug that has no effect because of the chemicals used
 
kwa kweli hapa tuchauriane vyema kwan nami natamani kuitumia,kila nikinyoa natoka mapele sababu ndevu zinajisokota ndani ya ngozi na kushindwa kutoka nje. So anayefahamu dawa ya kumaliza tatizo hilo tushauriane.
 
Madhara ya kwanza ni kunyonyoka kwa kidevu chote then mashavu kuvimba kichwa kuumuka na kukatika ulimi ugonjwa huu unaitwa hypoclamitiachios.
 
natumia magic kwa miaka mitano sasa.
imesaidia kuondoa tatizo la vipele kwa asilimia 95.
Ni nzuri kwa kweli, ila ina masharti ya kwamba ukishanyolewa lazima uoshwe vizuri.
Pia lazima ipakwe na kinyozi mzoefu.
Hii inamaanisha ili utumie magic bila tatizo, ni lazima uende salon.
nimejaribu ku search internet juu ya madhara yake sijapata chochote cha kukatisha tamaa.
still, ni vyema kuwa na tahadhari ya kusafisha kidevu vizuri.
Nyembe na mashine katika karne hii ya ukimwi na magonjwa ya ngozi ni hatari sana!
 
Magic shaving powder ina madhara kwasababu imebeba chemical inayoitwa barium sulphide ambayo hupenya kwenye ngozi na kuunguza sehemu ya uso wa ngozi au kufanya vinyweleo kuota kueleka ndani badala ya kutoka nje (pseudo-folliculitis) so achana nayo kwa ajili ya afya ya ngozi yako
 
nawasalimu wote katika Jina la Bwan wetu Yesu Kristo.
naomba kufahamishwa juu ya hizi shavivng powder, je zina side effect yeyote ile kwa wale wanaotumia mara kwa mara kwani mi nimekuwa nikiitumia kila weekend ninapokwenda kushave ndevu.
natumaini kuelimishwa kwa kina na wataalamu walipopo humu ndani na ninatanguliza shukrani kwa kila atakayechangia.
BARIKIWA
 
Hodi jamvini wana JF, naomba kuelimishwa kuhusu madhara ya kutumia shaving powder mfano magic powder and the like katika kunyolea ndevu na hata nywele za kichwani (kipara), those short term effects as well as long term effects.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom