Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 476
- 1,244
Kuna mabati ya kisasa maarufu kama msauzi ambayo yana rangi mbalimbali ambayo kwa sasa jamii nyingi zinatumia kuezekea nyumba yana athari kwa binadamu?
Kumekuwepo na nadharia kwamba haya mabati huwa yanachuchuka rangi na kupauka na kupoteza upya wake na rangi hiyo huchanganyikana na maji ya mvua ambayo hutumiwa na binadamu kunywa na kupikia ambapo wanadai husababisha ugonjwa wa kansa
Pia wengine wanadai sahani ,bakuli,majagi,na vikombe vya plastiki havipaswi kutumiwa na binadamu kwa kuweka chai,uji au chakula cha moto sana kwamba ni chanzo cha kansa
Wataalamu tunaomba uhakika wa hili je rangi za mabati na Vyombo vya plastiki vina madhara kwa binadamu?