Chauro JF-Expert Member Aug 20, 2010 2,968 1,476 Jun 24, 2012 #21 hakuna shule ya siku moja kujifunza ni kila siku akili kumkichwa
Meritta JF-Expert Member Apr 26, 2011 1,303 293 Jun 24, 2012 #22 charminglady said: umeona eeh! Click to expand... aah mie tena umzururaji sana wa izzo mambo
K Kimbori JF-Expert Member Feb 21, 2012 5,461 3,210 Jun 24, 2012 Thread starter #23 Mengi ya haya mafunzo ni kulipana fadhila kutokana na michango ya awali. Ila yale ya kiimani nayaunga mkono, angalau yanaweza kuwa mchango katika kuokoa ndoa zisivunjike ovyo kama vioo
Mengi ya haya mafunzo ni kulipana fadhila kutokana na michango ya awali. Ila yale ya kiimani nayaunga mkono, angalau yanaweza kuwa mchango katika kuokoa ndoa zisivunjike ovyo kama vioo