Je mafunzo ya 'kitchen party' yanasaidia?

hakuna shule ya siku moja kujifunza ni kila siku akili kumkichwa
 
Mengi ya haya mafunzo ni kulipana fadhila kutokana na michango ya awali. Ila yale ya kiimani nayaunga mkono, angalau yanaweza kuwa mchango katika kuokoa ndoa zisivunjike ovyo kama vioo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom