Mbuyimayi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 577
- 1,163
Mimi ni mmoja wa watu nilio shabikia sana huyu bwana kuingia pale nyumba kuu ijapokuwa mimi binafsi sina chama
Tatizo nilio anza kuliona mwanzo na nikakosa viunganishi vya tunapokwenda labda huko mbeleni pindi nilipoona sekta binafsi kama hazipo ktk vipaumbele vya serikali hii na hazijengewi mazingira yoyote ya kukua awamu hii ni kama hakuna juhudi za makusudi kujenga hizi sekta binafsi na hasa kwa wajasiriamali ( mind kwamba mimi sijawahi pata ajira yoyote rasmi ktk maisha yangu zaidi ya miaka miwili tu baada ya kutoka high school) maisha yangu yanategemea vi miradi vyangu na najitahidi sana kuwa muadilifu, muaminifu kwa biashara zangu na hii ni falsafa yangu toka sijui yupo JK ( hapa watu wanasema kulikuwa sijui na loopholes nyingi za pesa safi na chafu)
Kiukweli ubunifu wa mtu mmoja mmoja na hasa kwa wajasiriamali umeanguka sana kwa wengi wetu na tuliokuwa tuna simamia 'ethics' za ujasiriamali tunahisi tumeingizwa sehemu si yetu
Kwa ufupi hatujui hii 'overhaul' itatupeleka wapi lkn hapa wengi wetu tupo ktk 'frustration' kuu