its seemes that u were not wrong to choose that name of urs, for tis ur real a wise man. Hiyo ndo shida ambayo inawasumbua hao mabinti mana kila mtu ana mipango yake ktk maisha sasa kuwa disappointed katika hilo lazima wahahe. Pia u were their first love na mpaka kukuachia uifungue hazina yao inawezekana walikupenda na kukuthamini na ndo kinachowafanya wahangaike na wewe sass just understand them na usiwaone kama ni wapuuzi ingawa ckwambii kuwa uwarudie ili hali uko katika relation na mtu mwingine.
Mi hata simkumbuki na wala hata nikikumbuka I feal nothing cause he was very rough. yani hadi nilisema kama ndio hivi bora wanaoamua kuwa masista caouse hakuna raha yoyote.
Halafu rafiki yako huyo ni mharibifu sana. Yaani unabahatika kumpata binti bikra halafu unamchezea unamwacha? So sad to these ladies. Kwa maisha ya sasa hata darasa la saba wengine bikra hana. Kachugulie binti yako ili ujue hali yake. Shukuru Mungu ukimkuta salama!!! Angalia sana asilaaniwe maana mambo tunayofanya yanatokea kwa watoto wetu hadi kizazi cha nne. Kuna mzee mmoja yeye alikuwa anapenda kuzaa na vibinti tu vya wanaume wenzake. Matokeo yake watoto wake wote wa kike hadi wajukuu wamezalia nyumbani na hawakuolewa, wa kiume wanazaa na kila mwanamke na hawana ndoa pia. Mzee presha juu ooohh mara wamelogwa mara vile huku akisahau mchawi ni yeye mwenyewe i.e chasing your own tail!!1
bila ya kutumia nguvu hautoweza kumtoa bikra msichanahalafu rafiki yako huyo ni mharibifu sana. Yaani unabahatika kumpata binti bikra halafu unamchezea unamwacha? So sad to these ladies. Kwa maisha ya sasa hata darasa la saba wengine bikra hana. Kachugulie binti yako ili ujue hali yake. Shukuru mungu ukimkuta salama!!! Angalia sana asilaaniwe maana mambo tunayofanya yanatokea kwa watoto wetu hadi kizazi cha nne. Kuna mzee mmoja yeye alikuwa anapenda kuzaa na vibinti tu vya wanaume wenzake. Matokeo yake watoto wake wote wa kike hadi wajukuu wamezalia nyumbani na hawakuolewa, wa kiume wanazaa na kila mwanamke na hawana ndoa pia. Mzee presha juu ooohh mara wamelogwa mara vile huku akisahau mchawi ni yeye mwenyewe i.e chasing your own tail!!1
Thanks!!maelezo mazuri,ila thio mimi jamani.....
mkuu we umeona mbali hata mi nina wasiwasi huo kutakuwa hakuna uzinduzi wa bikra tena...hizi threads zitafanya wadada 'wajitoe wenyewe bikra na ma dildos' lol
mbona unawahi sana leo au na wewe unaenda kupopoa bikra mahali??Kazi kwelikweli. Napita tu jamani.
aisee nimekulaikije?Mi nilidhani heading ya hii thread iko wazi...au ulipotea njia na ukajikuta unavutiwa na comments zetu wadhambi. Pole siku nyingine usifungue thread kama hizi zitakukwaza mwayego.
Maana inaelekea umejikuta unazisoma zote bila kuruka mstari.