Je lulu anahaki juu ya kifo cha kanumba?

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Mwenyezi Mungu ailaze riho ya Marehemu Kanimba Mahali pema peponi...Amen
Naomba kufahamu mazingira ya kifo cha kanumba na ukweli kuhusu utetezi wa Luu...Je ni kweli Lulu anahusika!au ni ulevi aliokuwa nao mwendazake?au ni mchanganyo wa madawa na pombe inayosemekana ya kuwa mwendazake alitumia kwa wakati ule?na je ni kweli umri wa Lulu unaweza kuwa utetezi kwenye makosa ya mauwaji?

Sina mengi ila mitarejea...nami natafuta tafsiri mbalimbali za sheria hapa nilipo
 
kwa mujibu wa sheria za Tanzania kila mtu atahesabiwa kuwa hana hatia mpaka pale itakapothibitishwa na mahakama kuwa ana hatia na si vinginevyo so ukweli wa Mungu kupitia mamlaka zilizopo duniani Lulu aachwe kutiwa hatiani kinyume cha sheria na tuache haki ionekane kutendeka kwake.
 
Back
Top Bottom