Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,612
- 1,901
Nipo Liwale wiki sasa, nimekuwa menyonge na kuanza kuuchukia huu mji.
Sisi wengine hatuwezi kukaa sehemu bila kuingia chimbo la wakubwa la mambo yetu yale.
Sasa mwenyewe kujua anipe code hata dm
Sisi wengine hatuwezi kukaa sehemu bila kuingia chimbo la wakubwa la mambo yetu yale.
Sasa mwenyewe kujua anipe code hata dm