Je, Lissu yupo nchini?

Si vibaya na haina shida mtu akiamua kuota ndoto mchana ni vizuri sana lakini CDM au chochote kuchukua uongozi wa Tz mbali na CCM bado saaana.
 
Unachekesha dogo unadhani kila mtu yuko kama wewe uliye kabidhi akili kwa chakubanga?
Bahati mbaya huwa mnasahau mapema. By the way, huo Urais ungekuwa unapatikana kirahisi hivyo, unafikiri Mbowe angeucha abaki chamani tu? Tia akili kichwani dogo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisiasa ameshindwa kweli maana kachakazwa hasa kiasi kwamba hata si Mbunge tena, Ila ki afya yeye ni mshindi. Sasa ww ulikuwa unashindana nae kisiasa au kwa afya yake? Maana wafuasi wake naona wanampongeza kwa kuishinda mauti na wewe unamshambulia kwa kushindwa kisiasa. Tuchukue nafasi hii kumpongeza kwa kupigania uhai wake na kwa uweza wa MUNGU bado yupo imara.
 
Ana kitambulisho cha NIDA?
Amesajiliwa kwenye mfumo mpya wa alama za vidole?

Mwisho 20/01/2019..hatuongezi hata sekunde.
 

Yaani wewe ni mpumbavu (sio mjinga) sijapata kuona. Mumefanikiwa nini? Accasia kawalipa hizo $190B? Au unahorojoka tuu kama punguani?
Nyie ni kizazi gani ambao mnaimbishwa upunguani na kuuamini kama mazuzu vile? Au mmezaliwa na mtindio wa ubongo?
Mnakasirisha sana hasa kwa kuona inakuwaje binadamu na utashi wenu mko kama ng'ombe kwa akili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…