Vip mdeni wako alikuja ile saa mbili?? Manake hujaleta mrejeshoUsafi kwa sababu anakuja mgeni mkuu.
Na kapicha akiwa ghettoSubiri mkuu nimechoka nitakuja na mrejesho ngoja nimuamshe akaoge asepe zake,
[emoji23]Utaikuta jukwaa la wakubwa mkuu maana ni picha tata
Vipi mkuu usisahau kuhadithia kama yaliyomo yamo?Ngoja ngoja ajiandae asepe nilale tena kidogo then nije jukwaani kuleta mambo
Deal done mkuu pia niliaply na ile tropic ya ya form 11 The interaction between Africa and out side world.Mkuu,kwani hukuisoma barter trade ulipokuwa form two?
Pia,hukuisoma Letigimate trade ulipokuwa form three au form four?
Kama ulizisoma na kuzielewa hizo sub-topics basi jaribu ku-apply knowledge yake ktk maisha ya kawida!