Adamjuma94
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,292
- 4,752
Kama demu analipa,kwanini akulipe
Sijui umenielewa?
Sijui umenielewa?
Naomba unipe namba yake nikulipe hiyo buku Tatu yakoUmechokaje sasa mapema yote hii
Na unavyojua kulinga sasa usikute hapa hukuchomeka flash yako ipige mzikiNilishawahi kutana na demu mahali fulani ktk maongezi akanibwagia moyo wake kwangu. Nikidhani ni utani kumbe mwenzangu alikuwa serious. Ni mpaka baadaye sana nikagundua alikuwa ana maanisha!!!
Aiseee ndungu umenifurahisha acha naamin mungu amekuleta kwa makusudi maalumMaswal mengine bana! Ni sawa na umeshika mkia wa mbuzi then unauliza, hivi mbuzi huwa ananyea wapi?
Nimestick hapa pemben ta ghetto lako nazungukazunguka tuu nilete mrejesho maana nkiangalia saa yangu kuna kam dak 20 zmebakHuyu bi dada nilikutana nae shoping wakati niko pale naangalia baadhi ya nguo.
Haikuwa mara ya kwanza kuonana nae la hasha,nilishawahi kuonana nae zaidi ya mara moja kwa sababu tuko tunatokea Eneo moja.
Sasa wakati yupo anaangalia angalia nguo zitakazomfaa akaona seti ya pichu pembeni rangi ya pink na nyeupe akazitamani lakini wakati anaulizia bei hela aliyokuwa nayo ilikuwa pungufu kama elfu kadhaa ili iweze kutosha kununua zile pichu( vifuniko vya Asali).
Bila hiyana kwa sababu ananifahamu akaniomba bwana shemu naomba nikopee niongezee hapa then nipe namba yako nikirudi nyumbani nitakutumia kwa M-Pesa.
Kwa moyo wangu wa Huruma nilimpa ile hela na namba nikampa akanibip fresh.
Sasa jioni ilivyofika nilichokuwa naona ni sms tu.
Mara shemu mambo vipi.
Vipi umelala .
Shemu umekula nini?
Shemu msalimie wifi yangu.
Nilikuwa namjibu sawa lakini katika Meseji zote hizo sijaona sms ya kuthibitisha muamala wangu wa M-Pesa mpaka ile siku kunakucha.
Siku ya pili ikawa vile vile na sms zake ,ya tatu pia sasa hivi wiki imeisha sijaona hiyo sms ya kuthibisha muamala wangu.
Sasa cha kushangaza jana jioni kanitumia sms kwamba ,
"Shemu naomba kesho nije nikutembelee yaani leo akamalizia na nimekumisi sana ".
Mi nilichomjibu ni sawa unataka kuja saa ngapi?
Akajibu muda wowote unaotaka nitakuja mi niko free.
Nimemjibu aje saa 2 usiku na kasema ok.
asubuhi leo nimeamka akanisalimia fresh mchana pia na muda si mrefu kanicheki kwamba nisimuangushe yeye ndio anajiandaa muda ukifika aje.
Sasa hapo nipo nawaza ndio anakuja kunilipa hela yangu cash ina maana mtandao kwenye M-Pesa kwake unasumbua?
Pia sio vibaya nimeshafanya usafi wa geto pako fresh lakini bado najiuliza je kweli atanilipa deni langu.?
View attachment 870266
Bado nane kwakwel mrejesho ni lazima jitahidi sanaNimestick hapa pemben ta ghetto lako nazungukazunguka tuu nilete mrejesho maana nkiangalia saa yangu kuna kam dak 20 zmebak
Ukishaonja unakunywa kabisa halafu unasafisha chombo cha asali unafunika HahahaAnakuja kwanza kukuonesha kifuniko kimoja cha asali kama kimefunika vizuri,ukisema kimefunika vizuri basi utaambiwa ukitoe uonje kidogo asali,baada ya hapo kinachofuata andaa nauli yake,alafu deni inakuwa...........!!!
Kumbe buku 3 atakuwa amekununulia vocha anakuja ili uisugue halafu aingize kwenye CM mbele yakoSiyo parefu sana mkuu ni buku 3 .
Wapi mzigua Duh nimekumiss vibayaHatuna ujasiri wa kusema live kama nyie