Je kweli huyu bi dada atanilipa Deni langu ?

Je kweli huyu bi dada atanilipa Deni langu ?

Yeah anakuja kukulipa manake hadi umefanya usafi wa geto kwa ujio wake unajua kitakachotokea[emoji30]
Usafi kwa sababu anakuja mgeni mkuu.
 
Anakuja kwanza kukuonesha kifuniko kimoja cha asali kama kimefunika vizuri,ukisema kimefunika vizuri basi utaambiwa ukitoe uonje kidogo asali,baada ya hapo kinachofuata andaa nauli yake,alafu deni inakuwa...........!!!
Kwa hiyo nijiandae kupakua Asali .
 
Bila shaka Mkuu maana ushailipia, mkuu usisahau itikadi za kiume....kama alinunua dozen hiyo atakayo kuja nayo mvue kwa kuirarua....ulete mrejesho na kapicha sasa kama ulivyoleta seledi
Kapicha kake nitakaleta kwenye uzi wa wakubwa stay tune mkuu.
 
Hatuna ujasiri wa kusema live kama nyie
Nilishawahi kutana na demu mahali fulani ktk maongezi akanibwagia moyo wake kwangu. Nikidhani ni utani kumbe mwenzangu alikuwa serious. Ni mpaka baadaye sana nikagundua alikuwa ana maanisha!!!
 
Back
Top Bottom