Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,377
- 10,641
Hakuna kinachokera na kuumiza kama kufanya kazi usiyoipenda. Utakosa kuutumia ule upekee ulioumbwa nao.
Wengi tunafanya kazi tulizonazo si kwa kuzipenda ila kulikuwa Hakuna alternative. Mfano wewe una hulka ya kuwa mwanajeshi Leo hii wewe ni mwalimu, au ulitamani kuwa daktari ila kwa sasa ni mlinzi, utajikuta ni kujuta tu ndani.
Tushirikishane, wewe upo kwa kazi ya ndoto yako? Je, unawashauri nini waliopoteza kazi za ndoto zao?