Leo nilikuwa naangalia kumbu kumbu ya Holocaust Nazis waliua sana waisrael ndugu zao wakristo cha ajabu huwezi kukuta muisrael wa bongo aka mkristo akiwalaumu wajerumani wakristo wenzao kwa mauaji yale ila wanawalaumu waarabu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
NAUNGA MKONO HOJAMungu anayeagiza watu wavamiwe, watekwe, wauawe na wawe wa kutangatanga atakuwa ni wa ajabu sana.
Mungu wa hivyo sitaki kumuabudu bora anichome Moto.
Sent using Jamii Forums mobile app