Je kwanini mwenyezi Mungu kaagiza warabu wauwawe na wawe wa kutanga tanga? bible inasema nini?

Biblia ipi?,agano la kale au jipya?,kama jipya ni fake newz,kuna mababylon waliiandika kwa maslahi yao binafsi,ni upotoshaji totally
Aman iwe nanyi wakuu

Niko napitia bible hapa lakin nimeshangaa sana

Neno la bwana limenena juu ya waarabu kuwa watakuwa wa kutanga tanga na hawata kaa kwenye nchi zao na watu wa mataifa watayaharibu mataifa yao

Hivyo bwana kawaagiza waondoke kwenye nchi zao waende kwenye mataifa ya Raha

Soma Yeremia juu ya waarabu
Aya ya 49 kuanzia mstari wa 28_ 33

Mstari wa 28: bwana asema hivi ondoken panden hata kedari mkawateke wana wa mashariki

Katika msitari wa 28 Bwana wa majeshi ameagiza waarabu watweke nyara

Kwahiyo uvamizi wa ulaya na America juu ya waarabu ni maagizo kutoka kwa Bwana

Msitari wa 30 bwana ameagiza waarabu wakimbie wakitanga tanga

Msitari wa 31: Bwana amewaagiza waarabu wakimbilie inchi za raha katika mataifa wakaayo bila kuhangaika

Duh ebwana ee kusoma biblia kuna raha yake aisee

Msitari wa 32: unasema na waarabu wao pamoja na ngamia zao watakuwa mateka na watatweka nyara kwa makundi makundi

Bwana anaendelea kudai kuwa ataleta msiba wao

Msitari wa 33: unasema na hazori utakuwa kao la mbwa mwitu, ukiwa milele
Wala hapana mtu ataye kaa huko

Yaan hakuna mtu atayekaa uarabun patakuwa makao ya mbwa mwitu na patakuwa ukiwa milele na milele
Asema bwana

Jaman haya siyo maneno yangu wala maagizo yangu ni maagizo ya bwana Mungu

Swali je kwanini mwenyezi Mungu kayaamulisha mataifa yawateke waarabu na yawaue?

Je kwanini mwenyezi Mungu kawambia waarabu watakuwa wakutanga tanga

Na kwanini kawaambie wakimbilie kwenye mataifa ya raha?

Je waarabu wamelaaniwa?

Nb mimi sinaga kabisa tabia ya kusoma bible ndo leo tu nimeamua nipitie nipitie ndo nikakutana na habali hizi

Nimegundua kusoma bible kuna raha yake maana unafunguka na unakuwa siyo mgeni wa mambo

Hata ukiona vita mashariki ya kati wala husituki maana tiar bwana ashaandika na ashaagiza watu hawa wauwawe.

Asanten sana

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mashariki sio waarabu.Kasome pande za dunia ulipo wewe angalia upande wa mashariki yako je kuna hao waarabu.Anyway ayo maagizo ya biblia yametokea ulaya?Marekani upande wa mashariki kuna waarabu.Mashariki ni upande wa muelekeo wala sio nchi zaidi hakuna maandiko yaliyotokea ulaya yote yametokea bara la Asia.Yahitaji akili ndogo sana kujua haya kwamba mashariki sio nchi wala sio watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umesahau kumuuliza, huyo bwana wake wakati anauongelea upande wa mashariki, alikuwa akinena hayo akiwa wapi?
Tunaanzia

Tuanzie hapa.
HIVI UKIWA MASHARIKI,MASHARIK YAKO INAKUA NI UPANDE GANI ?
Kidogo tuongea Biblia kisayansi.
Usiache hilo swali hapo tafadhali,linamajibu yote

Sent using Redmi Y2
 
kujua kuitafsiri biblia ni muhimu sana, usiisome tu kama kitabu cha hadithi, kuna mistari mingine ni vyema ukauliza jirani yako akusaidie maana, usijiamini sana kila unachosoma kwenye biblia utakielewa mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nanyi wakuu

Niko napitia bible hapa lakin nimeshangaa sana

Neno la bwana limenena juu ya waarabu kuwa watakuwa wa kutanga tanga na hawata kaa kwenye nchi zao na watu wa mataifa watayaharibu mataifa yao

Hivyo bwana kawaagiza waondoke kwenye nchi zao waende kwenye mataifa ya Raha

Soma Yeremia juu ya waarabu
Aya ya 49 kuanzia mstari wa 28_ 33

Mstari wa 28: bwana asema hivi ondoken panden hata kedari mkawateke wana wa mashariki

Katika msitari wa 28 Bwana wa majeshi ameagiza waarabu watweke nyara

Kwahiyo uvamizi wa ulaya na America juu ya waarabu ni maagizo kutoka kwa Bwana

Msitari wa 30 bwana ameagiza waarabu wakimbie wakitanga tanga

Msitari wa 31: Bwana amewaagiza waarabu wakimbilie inchi za raha katika mataifa wakaayo bila kuhangaika

Duh ebwana ee kusoma biblia kuna raha yake aisee

Msitari wa 32: unasema na waarabu wao pamoja na ngamia zao watakuwa mateka na watatweka nyara kwa makundi makundi

Bwana anaendelea kudai kuwa ataleta msiba wao

Msitari wa 33: unasema na hazori utakuwa kao la mbwa mwitu, ukiwa milele
Wala hapana mtu ataye kaa huko

Yaan hakuna mtu atayekaa uarabun patakuwa makao ya mbwa mwitu na patakuwa ukiwa milele na milele
Asema bwana

Jaman haya siyo maneno yangu wala maagizo yangu ni maagizo ya bwana Mungu

Swali je kwanini mwenyezi Mungu kayaamulisha mataifa yawateke waarabu na yawaue?

Je kwanini mwenyezi Mungu kawambia waarabu watakuwa wakutanga tanga

Na kwanini kawaambie wakimbilie kwenye mataifa ya raha?

Je waarabu wamelaaniwa?

Nb mimi sinaga kabisa tabia ya kusoma bible ndo leo tu nimeamua nipitie nipitie ndo nikakutana na habali hizi

Nimegundua kusoma bible kuna raha yake maana unafunguka na unakuwa siyo mgeni wa mambo

Hata ukiona vita mashariki ya kati wala husituki maana tiar bwana ashaandika na ashaagiza watu hawa wauwawe.

Asanten sana

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu ni watu gani wanaotangatanga kati ya warabu na waafrika,kati ya warabu na wazungu,kati ya warabu na wahindi.Waafrika tunakufa kwa mamia bahari ya shamu kukimbilia ualaya.Wazungu wako kutangatanga kila kona ya dunia..Australia,America,Afrika mpaka Mugabe kawafukuza na sasa SA wanataka wawafukuza wawanyang'nye na mashamba.
Eleza vizuri mkuu wanatangatanga wapi au wazungu wanawasumbua lakinu bado wanashindwa kuwatawala kama walivyotawaka Afrika kiulauni.Hata wale wanaojiita waislaeli ni wazungu wanaotangatanga kwa vazi ka uislaeli wakati imethibitika ni wavamizi wanaotangatanga hawana ardhi.
Biblia imeandikwa na wazungu ulitegemea wawapambe warabu ambao ni mtawala wao wa zamani.We we ukiandika kitabu utampamba mzungu aliekutawala.Waafrika,waislaeli wanaotangatanga nao ni warabu? Qurani nayo imesema waislaeli watatanga tanga na kuchukiwa dunia nzima na itafika kipinfi watapindwa mawe kila kona.
Vita vya maneno ya wazungu(bible) na warabu(Qurani),muafrika haikuhusu shika jembe ukalime waache wababe wapambane tuache kujipendekeza.
 
Aman iwe nanyi wakuu

Niko napitia bible hapa lakin nimeshangaa sana

Neno la bwana limenena juu ya waarabu kuwa watakuwa wa kutanga tanga na hawata kaa kwenye nchi zao na watu wa mataifa watayaharibu mataifa yao

Hivyo bwana kawaagiza waondoke kwenye nchi zao waende kwenye mataifa ya Raha

Soma Yeremia juu ya waarabu
Aya ya 49 kuanzia mstari wa 28_ 33

Mstari wa 28: bwana asema hivi ondoken panden hata kedari mkawateke wana wa mashariki

Katika msitari wa 28 Bwana wa majeshi ameagiza waarabu watweke nyara

Kwahiyo uvamizi wa ulaya na America juu ya waarabu ni maagizo kutoka kwa Bwana

Msitari wa 30 bwana ameagiza waarabu wakimbie wakitanga tanga

Msitari wa 31: Bwana amewaagiza waarabu wakimbilie inchi za raha katika mataifa wakaayo bila kuhangaika

Duh ebwana ee kusoma biblia kuna raha yake aisee

Msitari wa 32: unasema na waarabu wao pamoja na ngamia zao watakuwa mateka na watatweka nyara kwa makundi makundi

Bwana anaendelea kudai kuwa ataleta msiba wao

Msitari wa 33: unasema na hazori utakuwa kao la mbwa mwitu, ukiwa milele
Wala hapana mtu ataye kaa huko

Yaan hakuna mtu atayekaa uarabun patakuwa makao ya mbwa mwitu na patakuwa ukiwa milele na milele
Asema bwana

Jaman haya siyo maneno yangu wala maagizo yangu ni maagizo ya bwana Mungu

Swali je kwanini mwenyezi Mungu kayaamulisha mataifa yawateke waarabu na yawaue?

Je kwanini mwenyezi Mungu kawambia waarabu watakuwa wakutanga tanga

Na kwanini kawaambie wakimbilie kwenye mataifa ya raha?

Je waarabu wamelaaniwa?

Nb mimi sinaga kabisa tabia ya kusoma bible ndo leo tu nimeamua nipitie nipitie ndo nikakutana na habali hizi

Nimegundua kusoma bible kuna raha yake maana unafunguka na unakuwa siyo mgeni wa mambo

Hata ukiona vita mashariki ya kati wala husituki maana tiar bwana ashaandika na ashaagiza watu hawa wauwawe.

Asanten sana

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku tunawaambia hamuelewi huyu Mungu wenu ni tatizo badala ya kuwapa watu tabu na maangaiko sasa si bora asingewaumba tu !!!!
 
Mkuu mi nimeacha ushabiki wa warabu na wazungu kwa sababu wote nia yao sio nzuri kwa muafrika.Mwaka jana netanhyahu alirudisha Waafrika na kuwapeleka kwa kagame, af bado unamshabikia tu eti amebarikiwa halafu wewe umelaaniwa.Mwarabu nae anaua Waafrika wazamiaji na ma housegirl wanaingizwa utumqani bado umshabikia tu kisa na wewe ni muislamu huku anakubagua.Warabu was Afrika hawapendi hata umoja wa Afrika ila wanapovamiwa na mzungu wanataka huruma ya weusi AU.Hayo manyang'au ni shida kwa mtu mweusi.
 
Kama ni la kiroho na siyo la kisayansi,hiyo mashariki umeitolea wapi katika Biblia ?
maana haiwezekani utaje pande za dunia za mashariki halafu uzitenge na sayansi labda utuambie hiyo mashariki ni mashariki ya kiroho na siyo ya kidunia.
Halafu ilikuwaje bwana mungu mzungu asijue kuandika wakati elimu ni Mali yake, ona sasa watu wamepotosha aliyonena.
 
Mkuu mi nimeacha ushabiki wa warabu na wazungu kwa sababu wote nia yao sio nzuri kwa muafrika.Mwaka jana netanhyahu alirudisha Waafrika na kuwapeleka kwa kagame, af bado unamshabikia tu eti amebarikiwa halafu wewe umelaaniwa.Mwarabu nae anaua Waafrika wazamiaji na ma housegirl wanaingizwa utumqani bado umshabikia tu kisa na wewe ni muislamu huku anakubagua.Warabu was Afrika hawapendi hata umoja wa Afrika ila wanapovamiwa na mzungu wanataka huruma ya weusi AU.Hayo manyang'au ni shida kwa mtu mweusi.
Leo nilikuwa naangalia kumbu kumbu ya Holocaust Nazis waliua sana waisrael ndugu zao wakristo cha ajabu huwezi kukuta muisrael wa bongo aka mkristo akiwalaumu wajerumani wakristo wenzao kwa mauaji yale ila wanawalaumu waarabu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilikuwa naangalia kumbu kumbu ya Holocaust Nazis waliua sana waisrael ndugu zao wakristo cha ajabu huwezi kukuta muisrael wa bongo aka mkristo akiwalaumu wajerumani wakristo wenzao kwa mauaji yale ila wanawalaumu waarabu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Manazi,wajerumani mpaka Leo hawawapendi waislaelivila wanazuga tu.Ona Brexit wanajitoa kwa wazungu wenzao,wazungu wenyewe hawaaminiani rejea mgogolo wa china 5G trump vs China.Waafrika tunajifanya kuwaamini sana wazungu na warabu kwamba wao ndio kila kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom