Je kwanini mahali haimaliziwi kulipwa?

Je kwanini mahali haimaliziwi kulipwa?

Labda ili ukizingua wanachukua binti yao... Teh teh
 
kuna utamaduni nimesikia sana eti ukiandikiwa mahali kiasi Fulani basi ni bora utoe pungufu na usimalizie ebu tupeni uzoefu kidogo hapo
mfano mahali 2Mil basi unaweza peleka 800000
Usawa huu wa kutoa mahali 2M Ina TV ndani?
 
Back
Top Bottom